Shadeeya
JF-Expert Member
- Mar 12, 2014
- 49,759
- 118,798
Hahahaaa. 🙈🙈Umempita au yaweza kua mnalingana kujaaliwa umbo la uanamichezo
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Hahahaaa. 🙈🙈Umempita au yaweza kua mnalingana kujaaliwa umbo la uanamichezo
Hakikisha hupotezi umbo hilo Shadeeya. Kuna wanaotaka kufanyiwa upasuaji walipate, wengine wanakunywa madawa, lakini wapi bana! Wanaishia ama kukonda sana au kunenepa sana au kupata maradhi mengineHahahaaa. 🙈🙈
Najitahidi hapa acha tu Ses.Hakikisha hupotezi umbo hilo Shadeeya. Kuna wanaotaka kufanyiwa upasuaji walipate, wengine wanakunywa madawa, lakini wapi bana! Wanaishia ama kukonda sana au kunenepa sana au kupata maradhi mengine
Good girl, nimekupendaNajitahidi hapa acha tu Ses.
Noma sana!Kwa staili hii huyo mwanamke sio mtamu kitandani.
Hapo hata ukianza kumtoomba utasikia anaonge bhana nirenge sio unanilambalamba kwani mm nmekuwa ndama? Ayaa! Amang'ana ghasalikile muraa
Sent using Jamii Forums mobile app
Hatar sana!hii picha naweza kultumia kama mboga kwenye ugali mchana wa leo
Kwani ndio alikuwa namba moja?Jamani wekeni na picha ya madam spika alishinda dhahabu😂
Ndiyo,mchezo wa kutembea kwa kasi,akapata dhahabu,sasa huyu Esther mbona yeye tu? Mi roho inaniuma sana Dada yangu Tulia hamjamuweka😊Kwani ndio alikuwa namba moja?
Duuh! Mungu anawaona aisee kwa ubaguzi wao.Ndiyo,mchezo wa kutembea kwa kasi,akapata dhahabu,sasa huyu Esther mbona yeye tu? Mi roho inaniuma sana Dada yangu Tulia hamjamuweka😊
Ngoja nitafute picha za Dada sikubali😂Duuh! Mungu anawaona aisee kwa ubaguzi wao.
#tuwekeeninanambamoja
Hebu zitafutage Mkuu kisha uziwekemo. 😂😂Ngoja nitafute picha za Dada sikubali😂
Napambana mkuuHebu zitafutage Mkuu kisha uziwekemo. 😂😂
Mimi penda wewe ivoivoo njooo hukuuuu love Sadeeys❤❤❤❤❤Yuko vizuri. Natamani siku moja na mimi niuage huu utipwa tipwa kwa kweli. 😎😎
Wivuuuu tuuuuuu unakusumbua kwa mhHana uzuri wowote. Mfyuuuuuuuuu
Duh..wakubwa wanafaidi sana aisee.