Hii mambo ya infrastructure jamani imezidi sasa . Wakazi wa Eastleigh especially along Second Avenue extension wanapitia tough times sana. Barabara imeharibika vibaya mashimo, matope, na flood kila mahali, especially saa hizi za mvua
Watu wa transport kama bodaboda na mkokoteni wanasema kazi imekuwa ngumu, wengine mpaka wanahitaji kusaidiwa kuvuka sections zenye maji. Imagine kufanya kazi na lazima usukumwe na watu watano? Hii si poa.
Businesses pia zimeumia. Customers wanaavoid hiyo route juu ya hali mbaya ya road, deliveries zinachelewa, na biashara zinashuka. Hii area ni key route ya buses za Garissa na Wajir lakini saa hii imekuwa nightmare .
Residents wanasema hii shida imekuwa for a long time bila solution. Swali ni: authorities wanafanya nini?
Je, maendeleo ni kweli kama basic things kama roads bado ni shida hivi?
Who is supposed to fix this and when?
Source: eastleighvoice.co.ke