bet kwa muhindi sijuh odd zake zimekaaje unaweza amka azam babaraiUTABIRI WANGU:
-Mwanamuziki KE..Vmoney
-Mwanamuziki ME..Ali Kiba
-Wimbo bora..Ben pol moyo mashine
-Video bora..Lady JD ndindindi
-Kikundi bora..Navy Kenzo
-Chipukizi..Man fongo
-Muigizaji ME..Gabo
Mwenzio anataka tuzoKwa hiyo Kiba kachukua fomu kwenye shindano hili??!!
Kweli Kiba kachanganyikiwa
Wasanii waliochukua form ni wachache sana kuna wasanii wamefanya vizuri sana mwaka huu wahapo apo imepunguza radha , mfanolakini mbona wasanii wengine wamechukua fomu kwani inapunguza nini?
Sasa ni ngumu kumlazimisha mtu kufanya kitu ambacho hataki.Wasanii waliochukua form ni wachache sana kuna wasanii wamefanya vizuri sana mwaka huu wahapo apo imepunguza radha , mfano
Darasa
Billnass
Maua sama
Mr. Blue
Raymond
Harmonize
Shilole
Stamina
Roma
Jaymo
Belle9
Jux
Fid Q
Eddy kenzo
Bebe cool
Yamoto band
Chege
Madee
Elani
Na wengine kibao
Kwa hiyo wasanii wengi wangechukua form category zingeongezeka ?Wasanii waliochukua form ni wachache sana kuna wasanii wamefanya vizuri sana mwaka huu wahapo apo imepunguza radha , mfano
Darasa
Billnass
Maua sama
Mr. Blue
Raymond
Harmonize
Shilole
Stamina
Roma
Jaymo
Belle9
Jux
Fid Q
Eddy kenzo
Bebe cool
Yamoto band
Chege
Madee
Elani
Na wengine kibao
Sizungumzii category nazungumzia ushindani na msisimkoKwa hiyo wasanii wengi wangechukua form category zingeongezeka ?
Na una uhakika gani uliowataja hawakuchukua fomu ?
Mfano FID Q alisema kachukua fomu
Muziki wa Tanzania unaendeshwa na media house,IPP kuanzisha tuzo hawawezi kupata support kutoka media house nyingine (Clouds,EFM,Sahara Media,TBC,Times,Magic/Chanel 10)Sizungumzii category nazungumzia ushindani na msisimko
Hizi ni akili za kitumwa, hakuna tv station inayotazamwa na Watanzania wengi zaidi ya ITV wana EA tv kwa ajili ya entertainment na wana EA redio inasikika mpaka Nairobi na Kampala, achana na hicho kiredio cha washambenga clouds kinachoishia Magomeni.Muziki wa Tanzania unaendeshwa na media house,IPP kuanzisha tuzo hawawezi kupata support kutoka media house nyingine (Clouds,EFM,Sahara Media,TBC,Times,Magic/Chanel 10)
So automatically ni ngumu hizo tuzo kuwa kufana/kuwa na ushindani kuna wasanii wa Clouds hawawezi kushiriki hizo tuzo
Sasa wewe hujui sisi Watanzania (Waafrika ) ni watumwa,Unaweza kuwa na coverage kubwa lakini wasikilizaji ni wachache (Mfano TBC).Clouds/TBC/Chanel10,StarTVHizi ni akili za kitumwa, hakuna tv station inayotazamwa na Watanzania wengi zaidi ya ITV wana EA tv kwa ajili ya entertainment na wana EA redio inasikika mpaka Nairobi na Kampala, achana na hicho kiredio cha washambenga clouds kinachoishia Magomeni.
Anasema Hataki Tuzo Eti Mziki Wake Ni Mkubwa Kuliko Tuzo, Halafu Anakimbilia Kwenda Kujaza Fomu Za EATV Awards! Kweli Too Many Dump People In This World.God Help! - WizkidAyoMwenzio anataka tuzo
Kachanganyikiwa na ninKwa hiyo Kiba kachukua fomu kwenye shindano hili??!!
Kweli Kiba kachanganyikiwa
Kama unafatiaga mziki bado na kwetu zimetoka liniKuna kigezo kimoja kinasema kazi yako unaoipambanisha inabidi iwe imetoka ndani ya kipindi flani kitu ambacho wengi wa wasanii wa wasafi hawafit. nyimbo zao nyingi nzuri ni za hivi karibuni mwaka huu
Au angemjazia form ashiriki badala yake.... Watu wengine sijui akili zao zikoje... Eti mbona kina fulani hawapo!!! Kwani hao kina nani bana basi waandae yao wawaite..Kama unampenda sana Diamonds nenda madale madale akakupe kibaruwa cha kumchambisha Tiffa.
Wabongo banaMsanii Bora Tanzania na Afrika Mashariki anajulikana!!!
Sisi shule msingi alie kuwa anashika nafasi ya kwanza kila mtihani basi Siku ya mtihani akiumwa na asifanye yule anayemfuata alikuwa anafurahia sanaaaaa!!!! Kwasasa tanzania hamna video bora Bora kama KIDOGO! HAMNA MSANII BORA KAMA DIAMOND OVER!
ASIE TAKA ANYE