EATV awards 2016 nominees: Hatua ya kupiga kura

EATV awards 2016 nominees: Hatua ya kupiga kura

Yaani bila kupepesa jicho iko hv

Msanii chipukizi ni MAN FONGO

Muizaji wa kike CHUCHU HANS

Kundi bora SAUT SOL

Video bora DON'T BOTHER

Msanii bora wa kiume GABU

Filamu bora SAFARI YA GWALU

Wimbo bora wa mwaka MOYO MASHINE

Msanii bora wa mwaka ALIKIBA

Msanii bora wa kike Vanessa Mdee

Kama vigezo vitafuatwa washindi wetu ni hao.........
 
Kabayser,Chegge,Baraka wameamua kuzikacha [emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
 
Kama unampenda sana Diamonds nenda madale madale akakupe kibaruwa cha kumchambisha Tiffa.
>>Mkuu ninaokota KOROSHO huku SHAMBANI kwangu kg 1 @ 4000 ninakaribia kupata kg 1,2500 .Thanks Magufuli For Your support in THIS year>>nitakutafuta """MATOLA " nikupe Kitu cha mgongo>>
 
Naona Navy Kenzo, Lady Jayde na Ali Kiba watabeba tuzo zao kwenye vipengele walivyowekwa
 
Wasanii kutoka WCB wote hawakutaka kushiriki
Diamond ni baloza wa vodacom na vodacom ndo wadhamin wa hizi tuzo
Jamaa kijiweka pembeni kuzuia maneno ya kuleta upendeleo kwake
Huo mkataba unawahusu nini wakina hormonize na wenzie???
Haijapendeza kujitenga na shuhuli ya home tena hawa ambao ndo wanatoka
 
Back
Top Bottom