kuduman201036
JF-Expert Member
- Aug 26, 2015
- 4,058
- 2,175
>>> AWARDS hazina MVUTO DIOMOND hayupo Peaneni tuuuuuuu >>> Kiba yaani wanazidi kumdhalilisha jamani daah !
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Wapiga kura wana asilimia 40 tuu na 60% ni za academy na majudge.
MTN GROUPzile za mtv mama mdhamini ni nani?
Yaani bila kupepesa jicho iko hv
Msanii chipukizi ni MAN FONGO
Muizaji wa kike CHUCHU HANS
Kundi bora SAUT SOL
Video bora DON'T BOTHER
Msanii bora wa kiume GABU
Filamu bora SAFARI YA GWALU
Wimbo bora wa mwaka MOYO MASHINE
Msanii bora wa mwaka ALIKIBA
Msanii bora wa kike Vanessa Mdee
Kama unampenda sana Diamonds nenda madale madale akakupe kibaruwa cha kumchambisha Tiffa.>>> AWARDS hazina MVUTO DIOMOND hayupo Peaneni tuuuuuuu >>> Kiba yaani wanazidi kumdhalilisha jamani daah !
aaaah kumbe.......apo nimeelewausimsikilize huyo kuna kamati inayo husika kupitia majina na kulikuwa na academy....na ni wasanii wenyewe ndio wanaji nominate halafu majina yao yanakwenda kupitiwa....
>>Mkuu ninaokota KOROSHO huku SHAMBANI kwangu kg 1 @ 4000 ninakaribia kupata kg 1,2500 .Thanks Magufuli For Your support in THIS year>>nitakutafuta """MATOLA " nikupe Kitu cha mgongo>>Kama unampenda sana Diamonds nenda madale madale akakupe kibaruwa cha kumchambisha Tiffa.
amechujwa.. hana vigezodiamond mbona hayupo hapo kwa mwanamuziki bora wa kiume?
zile za 2015 je?MTN GROUP
ABSOLUT VODKA
Huo mkataba unawahusu nini wakina hormonize na wenzie???Wasanii kutoka WCB wote hawakutaka kushiriki
Diamond ni baloza wa vodacom na vodacom ndo wadhamin wa hizi tuzo
Jamaa kijiweka pembeni kuzuia maneno ya kuleta upendeleo kwake
Hakujaza Fomu hao unao waona hapooo Walienda kuomba ili wawepo! Kifupi walikuwa wanauchu na Tuzodiamond mbona hayupo hapo kwa mwanamuziki bora wa kiume?
Unajaza Form kama ile ya kuombea Mkopo! Watakujadiri kama unavigezo wanakupa Mkopo!hizi awards ni kichekesho...
Wamezingatia nini
Waja mna manenooooUnajaza Form kama ile ya kuombea Mkopo! Watakujadiri kama unavigezo wanakupa Mkopo!