dronedrake
JF-Expert Member
- Dec 25, 2013
- 23,901
- 58,103
tune kwa TBC
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Mwijaku hua ananikera kuongea vitu ambavyo havielewiHao Mademu wa EATV na CLOUDS TV wana ongelea uchaguzi Kenya, hata hawajui majina ya Wagombea wala Jina la tume. Yaani ABC ya Kenya au Uchaguzi hawana. Ni sawa na Mwijaku kuchambua Michezo wakati yeye ni Bingwa wa UDAKU.
Kwahy wewe kusema Odinga atashinda urais sio aibu.? Em ficha aibu yako kwanza mana uzi wako umeutelekezaEATV kujiita east African tv kushindwa kurusha Kenya election ni aibu
Hili litv linajiita east africa television cha ajabu kenya matangazo yanarushwa ya urais tv hii ipo inapifa music na hawana habari
Halafu wanajiita Eatv kwanini wasibadili jina?
sababu ipo kubwa saana tu!Hakuna sababu ya kurusha hayo matangazo ya uchaguzi wa kenya
Kenyatta ana nuksi alimuunga mkono Lowasa hadi Chadema wakampiga chini Nyalandu ambaye alikuwa fitKuna umuhimu wa kumkutanisha huyu mwamba na Mheshimiwa Edward Ngoyai Lowasa ili ampe somo la kukubali kushindwa.
Maana hii sijui ni mara ya 4! Anaangukia tu pua!
Kiongozi ukitazamaga izo tv stations za Ke, ushaonaga ata siku wakiisemea poa Tz ? Content zinazohusu Tz hakunaga wala hawanaga eti habari za afrika mashariki hakunaga huo utaratibusababu ipo kubwa saana tu!
KTN news ni kama upo bongo tuKiongozi ukitazamaga izo tv stations za Ke, ushaonaga ata siku wakiisemea poa Tz ? Content zinazohusu Tz hakunaga wala hawanaga eti habari za afrika mashariki hakunaga huo utaratibu