Kenya 2022 EATV kujiita East African TV kushindwa kurusha Uchaguzi wa Kenya ni aibu

Kenya 2022 EATV kujiita East African TV kushindwa kurusha Uchaguzi wa Kenya ni aibu

Kenya 2022 General Election
Hao Mademu wa EATV na CLOUDS TV wana ongelea uchaguzi Kenya, hata hawajui majina ya Wagombea wala Jina la tume. Yaani ABC ya Kenya au Uchaguzi hawana. Ni sawa na Mwijaku kuchambua Michezo wakati yeye ni Bingwa wa UDAKU.
 
Hao Mademu wa EATV na CLOUDS TV wana ongelea uchaguzi Kenya, hata hawajui majina ya Wagombea wala Jina la tume. Yaani ABC ya Kenya au Uchaguzi hawana. Ni sawa na Mwijaku kuchambua Michezo wakati yeye ni Bingwa wa UDAKU.
Mwijaku hua ananikera kuongea vitu ambavyo havielewi
 
EATV kujiita east African tv kushindwa kurusha Kenya election ni aibu

Hili litv linajiita east africa television cha ajabu kenya matangazo yanarushwa ya urais tv hii ipo inapifa music na hawana habari

Halafu wanajiita Eatv kwanini wasibadili jina?
Kwahy wewe kusema Odinga atashinda urais sio aibu.? Em ficha aibu yako kwanza mana uzi wako umeutelekeza
 
Hakuna redio chuo kama East Africa radio, mapresenters wakubwa bongo wengi wamepitia hapo, Jimmy kabwe, Musa Hussein, Baby kabaye Zembwela, Kennedy the remedy, Mammy baby, George Bantu na wengineo wengi. Chuo hicho na weledi wakutosha
Sema kujiita Eatv ilikuwa ni brand ya kwanza kuunganisha burudani East Africa, usingewajua kina Bobby Wayne au chameleon au Nameless au Jua Kali, Nonini, Abas kubafu etc
Kufariki kwa Mwanzilishi wa redio na baadhi ya contents za kuunganisha East Africa zikapungu kama strictly Kenyan na Uganda central.
Usijidanganye na wasafi wala clouds bado hawawezi kufikia kimaudhui

Sent from my CLT-L29 using JamiiForums mobile app
 
Kuna umuhimu wa kumkutanisha huyu mwamba na Mheshimiwa Edward Ngoyai Lowasa ili ampe somo la kukubali kushindwa.

Maana hii sijui ni mara ya 4! Anaangukia tu pua!
Kenyatta ana nuksi alimuunga mkono Lowasa hadi Chadema wakampiga chini Nyalandu ambaye alikuwa fit

Matokeo walipigwa chini na Lowasa akarudi mbio CCM
 
sababu ipo kubwa saana tu!
Kiongozi ukitazamaga izo tv stations za Ke, ushaonaga ata siku wakiisemea poa Tz ? Content zinazohusu Tz hakunaga wala hawanaga eti habari za afrika mashariki hakunaga huo utaratibu
 
BBC kurusha inatosha,,nani angepoteza muda kuangalia haha
 
Back
Top Bottom