Ndugu yangu sio madhara walikua wanafanya promotion ya makalio na Masogange kashika namba moja
Uongo ms niliona jana waliongelea sababu na madhara na aina za dawa na uhusiano wa kudonge au sindani na kuongezeka tako na jinsi ya kutambua mwenye fekelo tako mwishoni ndio wakaonesha top 5 ya mastaa wa Tz wenye maumbo ya mviringo
Mkuu TV unaangalia peke yako ...unabisha nini sasa kwa hiyo madhara ndio kutoa washindi sio akianzia na
1 masogange
2 Kajala
3 wema
4 Gigy money
5 Tuerny
Na wanaume wakahojiwa kwanini wanapenda sijui ma kitu yenye makalio
Sijaona shida ya kipindi mana ni fashion na wallikuwa wanaelezea mawezele kitu ambacho ni hot kwa wanawake duniani na Africa na madhara sasa ulitaka waonyeshe nini
Lengo ili kuwa kuonyesha waliofunika zaidi pia inaonyesha ni Leo umeona hicho kipindi mbona huwa oinaelezea mambo mengi tu. Kutaja walio na makalio si vibaya
Sio kidogo yani
Yaani siku hizi kitu pekee ambacho ni salama kuangalia na mzazi ni kwaya ,Lkn sijui kampeni nako utakutana na kina Lusinde
Kwaya nako shida tu Rose Muhando na team yake wanavyokata mauno vile mmmh hapana aisee!
Sijawahi kujua ni utaratibu upi unatumika kukagua kipindi kabla hakijaenda hewani .
Nimekaa hapa na Bi Mkubwa na mwanangu wakati na switch Chanel kutoka TBC kwenda EATV baada ya kusikiliza maadhimisho ya siku ya baba Wa taifa ghafla NIVARNA wakawa wana tuzo sijui list ya wanawake wenye makalio Tanzania
Tujifanye wazungu sijui mnaishi LA ,AU PARIS hili swala sio sahihi
Niiteni old fashioned, mshamba ,vyovyote vile ila kuna kauli moja ya ninaimini Sana na inasema "The world suffers a lot not because of the violence of bad people but because of the silence of good people".
Mnacho kifanya EATV sio sahihi