EATV mnatia huzuni kwa kweli, tuzo za makalio?

EATV mnatia huzuni kwa kweli, tuzo za makalio?

Mnataka mabadiliko..ndo hayo sasa

Mabadiliko ni lazima ila sio kwenye mambo ya aina hii bibie
Halafu haya yametokea kabla hata ya Oct 25 ndio maana tunataka mfumo utakaobadili huu uchafu
 
Ndugu yangu sio madhara walikua wanafanya promotion ya makalio na Masogange kashika namba moja

Uongo ms niliona jana waliongelea sababu na madhara na aina za dawa na uhusiano wa kudonge au sindani na kuongezeka tako na jinsi ya kutambua mwenye fekelo tako mwishoni ndio wakaonesha top 5 ya mastaa wa Tz wenye maumbo ya mviringo
 
Mkuu TV unaangalia peke yako ...unabisha nini sasa kwa hiyo madhara ndio kutoa washindi sio akianzia na
1 masogange
2 Kajala
3 wema
4 Gigy money
5 Tuerny
Na wanaume wakahojiwa kwanini wanapenda sijui ma kitu yenye makalio
 
Sijaona shida ya kipindi mana ni fashion na wallikuwa wanaelezea mawezele kitu ambacho ni hot kwa wanawake duniani na Africa na madhara sasa ulitaka waonyeshe nini
 
Lengo ili kuwa kuonyesha waliofunika zaidi pia inaonyesha ni Leo umeona hicho kipindi mbona huwa oinaelezea mambo mengi tu. Kutaja walio na makalio si vibaya
 
Dah sawa Mkuu natamani ungekua na mwanao na mshua au Bibi Mkubwa wako mnaangalia wote alafu akuambie dreams zake ni kua kama Masogange afanyaje ili atimize ndoto zake
Ala hivi kumbe wezere ndio kitu hot kwa wanawake ?? Basi Mimi ntakua naishi kwenye dunia yangu
 
Sasa mtoa mada hutak na ss akina kj...mba nan tufaudu iyo mipwinyenye nn!acha tufaudu buana
 
Sasa mtoa mada hutak na ss akina kj...mba nan tufaudu iyo mipwinyenye nn!acha tufaudu buana

Haha Mkuu sina tatizo na wewe kufaidi tatizo ni Ku spoil mind za watoto
 
tusubir mabadiliko tuuu labda na wao watabadilika

Inshallah labda viongozi watakao kuja watakua na hofu ya Mungu walau waweze kukemea hata kinafki basi mambo yasiyo endana na maadili ya Mtanzania
 
Kwaya nako shida tu Rose Muhando na team yake wanavyokata mauno vile mmmh hapana aisee!

haha kwa hiyo mkuu wapi sasa ni salama ?? Nyumbani ndio kama hivyo tv zinaonyesha vitu vya ajabu ,ukisema walau jumapili moja ukakae na watoto Kilimanjaro hotel unakutana na Huddah Monroe na Bikini zake yaani
 
Sijawahi kujua ni utaratibu upi unatumika kukagua kipindi kabla hakijaenda hewani .
Nimekaa hapa na Bi Mkubwa na mwanangu wakati na switch Chanel kutoka TBC kwenda EATV baada ya kusikiliza maadhimisho ya siku ya baba Wa taifa ghafla NIVARNA wakawa wana tuzo sijui list ya wanawake wenye makalio Tanzania
Tujifanye wazungu sijui mnaishi LA ,AU PARIS hili swala sio sahihi
Niiteni old fashioned, mshamba ,vyovyote vile ila kuna kauli moja ya ninaimini Sana na inasema "The world suffers a lot not because of the violence of bad people but because of the silence of good people".

Mnacho kifanya EATV sio sahihi

Ndo media ze2 hizo.........nirvana na promotion ya choo wap na wap...o ndo kuwauza wadad wenye vyoo vikubwa....EATV watch yo back
 
Ndo media ze2 hizo.........nirvana na promotion ya choo wap na wap...o ndo kuwauza wadad wenye vyoo vikubwa....EATV watch yo back

Mkuu kwangu hayo ni maajabu ila ongea na bi Dada DivaBeyonce yeye anasema Nirvana wanaongeleaga mambo Mengi na hili halishangazi
 
Last edited by a moderator:
Mkuu kwangu hayo ni maajabu ila ongea na bi Dada DivaBeyonce yeye anasema Nirvana wanaongeleaga mambo Mengi na hili halishangazi

Leo big ass....competition n tz....next tym big pussy bby 2 b rewarded a brand new mercedez benz from tandale...
 
Last edited by a moderator:
Back
Top Bottom