EATV na EA radio wamjia juu Diamond , kisa kusema hategemei redio na Tv pekee

Duh mtoa mada alichokileta ndo uhalisia wa mambo. Hata mm nimeskia
 
Wasanii wote wanategemea TV na Radio kufikisha wakiimbacho sasa mtu akifanikiwa kidogo anajiona kamaliza kila kitu ni tabia ya K Tz, amesahau kuwa mwanzo yy ndo alikuwa a naomba ngoma zake zipigwe na hivyo anavyonyali Leo, yeye bila media asinge fika hapo so kupayuka aliyopayuka ni kudharau aliko tokea
 
Mainstream media bado zina nguvu sana duniani kote,ndio maana utakuta msanii anatangaza kwenye mitandao kwamba wimbo wake umeshika chati namba mojakwa wiki kadhaa katika radio au tv maarufu au za nchi fulani duniani ,hii yote ni kuonyesha appreciation ya namna gani mainstream media ilivyo na nguvu,mitandao ni kweli ina saidia wasanii lakini bado haijakuwa na nguvu kubwa ya kuupeleka muziki au brudani kwa wateja (wasikilizaji na watazamaji) kama zilivyo radio na Tv,mara nyingi nitandao inatumika kama nyenzo saidizi kwa mainstream media hasa katika suala la mauzo.

Japo sijasikia hiyo intavyuu ya Diamond lakini sidhani kama anaweza kuwa mpumbavu kiasi hicho cha kudharau mainstream media ambazo ndizo kwa kiasi kikubwa ndizo zilizomfikisha hapo alipo kisanaa,mimi nadhani hakueleweka na kama alikuwa anamaanisha kama wanavyosema hao jamaa watangazaji basi atakuwa hana shukrani na anavimba kichwa kitu ambacho si kizuri kwa msanii yeyote yule,kwanza wanaosikiliza na kutazama radio na tv ni wengi kuliko wanaoingia mitandaoni.
 
Hawa watoto wanaolipwa kutoa hewa chafu humu akili hawana mkuu.
 
SA SI NI KWELI!
HAHAHAHHAAHAHHAHAHHAA ,MFANO MDOGO NI WAO WENYEWE, hawapigi nyimbo zake wala video zake na BADO ANAKIMBIZA TU!
hajadanganya!
KWANI WALIJUA WAKIMZIMA ATAKAA CHINI!
thubutuuuuuuuu,!
yani bado mpo na mzimu wa Mbagala?
NYIE WATU BANA!
 
Leave D alone.... Nyi si mpo na Kiba...
 
Kakosea nn mondi hapo,, kasema hategemei TV na radio pekee bali na mitandao mingine yakijamii nadhan huko ndo kaweka ngv kubwa shida iko wap? Lazma tusome alama za nyakat Dogo yupo sahihi kama mna yenu kamrudishen kiba kwa kidoti ndo mje kwa mond mkal wao.
 
Kalewa uyo domo
wasanii wote duniani wanategemea radio ku push mzik wao....
Kama ataki aache akna! rihana wana followers 20ml zaidi na bado wanafanya media tour
Kna kanye hadi leo waktaka kutoa nyimbo wanafanya interview Ujekua kidampa wa tandale uyu?

Af sio Kwel kwamba earadio hAwachezi nyimbo zake... Sema wale sio mawingu kwamba watacheza nyimbo ya domo kila baada ya masaa 2
 
Hategemei TV wala Radio Bali anategemea kiki ili kuuza nyimbo zake.
Hivi yupo kweli?
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…