EATV na EA radio wamjia juu Diamond , kisa kusema hategemei redio na Tv pekee

EATV na EA radio wamjia juu Diamond , kisa kusema hategemei redio na Tv pekee

Hebu leteni iyo interview tusikilize wasitafute kiki kupitia mondi kwanza hayo maelezo kibaya kaongea nn kunaubaya ukisema hutegemei tu radio na tv bali na social media hao EATV waache ubashite afu wamemkomalia mondi kivipi au kisa alisusia tuzo uchwara zao si wanamsanii wao pendwa waendelee nae WCB hatutoi kiki mfyuuu[emoji57]
 
Hao ni washamba sababu hawajui miaka hii ilivyo sio kama zamani. Wanasikitisha sanaaaaaa wivu.com
 
Huo mgogoro wa muda mrefu unao zungumzia ulithibitishwa na nani kati ya hizo pande mbili ?

Kama hawana mgogoro wa muda mrefu kwa nini walikuwa hawapigi nyimbo zake tangia wewe ukiwa hapo Eatv Earadio? Au huo sio mgogoro. Diamond angekuwa anazuiwa na radio mngeshampoteza zamani na roho mbaya zenu za kiswahili nyinyi watu wa media mkiongozwa na ndugu zako wa east africa wasio na wasikilizaji.
 
Hebu leteni iyo interview tusikilize wasitafute kiki kupitia mondi kwanza hayo maelezo kibaya kaongea nn kunaubaya ukisema hutegemei tu radio na tv bali na social media hao EATV waache ubashite afu wamemkomalia mondi kivipi au kisa alisusia tuzo uchwara zao si wanamsanii wao pendwa waendelee nae WCB hatutoi kiki mfyuuu[emoji57]
Uko sahihi
 
Huo mgogoro wa muda mrefu unao zungumzia ulithibitishwa na nani kati ya hizo pande mbili ?
Mgogoro wa diamond na vituo vya East Africa ulianza tangu 2014 walikuwa hawapigi nyimbo za Diamond , wakaja kusuluhisha 2016 mwanzoni wakaanza kupiga nyimbo za Diamond
Miezi kadhaa mbele mwezi zilipokuja ishu za Tuzo za EATV mgogoro ukarudi tena pale pale sasahivi hawapigi tens nyimbo za Diamond
Tuliopo kwenye industry tunaona kila step
 
Hawa nimewaona wapuuzi
wao walidhani zama hizi ni zile za Fagilia Bongo!!
Wakitaka wamshushe msanii au kumpandisha ni maamuzi yao
sasa hivi hilo hawaliwezi kamwe.
Una wimbo Unakwenda kupiga magoti Redio ikuchezee!!
Kwa sasa nizamu yao

Alicho kizungumza Diamond ni sahihi
kwa sasa msanii hapaswi kutegemea Radio na Tv Kusambaza Musiki wake,
Mitandao ya kijamii inanguvu sana
Oyaa, kubali yaishe Diamond hapaswi kutamka hayo maneno kwa biashara anayoifanya.

Unazidiwa upeo wa kufikiri hadi na watu wenye akili fupi ya shule ya msingi tu.
 
Back
Top Bottom