Bongo hakuna zuri hata cku moja. Cdhani kama hizi habari ni za ukweliTangu kutolewa kwa tuzo za EATV awards vituo vya eatv na ea radio vimekuwa havipigi nyimbo za msanii wowote wa WCB wala kutoa habari zao
Tetesi zinasema kitendo cha WCB kutoshiriki tuzo hizo hakijawafurahisha Eatv na kuamua kusitisha huduma hiyo
Ikumbukwe Eatv awards ilikuwa ili kushiriki msanii lazima ajaze form za kujipendekeza kwenye vipengele kitendo kilichofanya wasanii wengi wasishiriki.
Ikumbukwe mwaka 2015 Eatv na radio walikuwa hawapigi nyimbo za Diamond platnumz mpaka mapema mwaka huu mwezi wa 4 waliposuluhisha pande zote mbili.
View attachment 446963
Mmm sidhani kama ni kweli....juzi tuu nimeona nyimbo ya diamond salome kwenye zote kuntu ...na kama ni kweli hiyo haiwezi kuwa sababu ....Tangu kutolewa kwa tuzo za EATV awards vituo vya eatv na ea radio vimekuwa havipigi nyimbo za msanii wowote wa WCB wala kutoa habari zao
Tetesi zinasema kitendo cha WCB kutoshiriki tuzo hizo hakijawafurahisha Eatv na kuamua kusitisha huduma hiyo
Ikumbukwe Eatv awards ilikuwa ili kushiriki msanii lazima ajaze form za kujipendekeza kwenye vipengele kitendo kilichofanya wasanii wengi wasishiriki.
Ikumbukwe mwaka 2015 Eatv na radio walikuwa hawapigi nyimbo za Diamond platnumz mpaka mapema mwaka huu mwezi wa 4 waliposuluhisha pande zote mbili.
View attachment 446963
Hata hiyo juzi tuu kwenye tv niliiona nyimbo ya Diamond kwenye tv yao ...nami na doubt hii habariKokoro imepigwa jana tu kwenye super mix i doubt your information
Binafsi niliona ni utoto kwa kituo kikubwa kama hicho kuwa na think tank kama wakina sallama zaidi ya kujua kutangaza hawajujui chochote kuhusu management ya mziki. Huwezi ukawambia wasanii wajipendekeze kwa ajili ya tuzo..that's was insanity.. Siyo haki kabsa.. !! Ni upuuzi sana style yao hiyo. Kwann msiwambie watu wapige kura wawapendeke wasanii.
Tatzo nchi hii media kuwa na nguvu zaidi ya wasanii..naombea E TV ya majizo isiyo na mambo ya kipuuzi hivi.
Natangaza na mm tokea Leo siangalii tena TV yenu kwanza Hamna kipind cha maana. Hii ngozi yetu imelaaniwa.