EATV na EA Radio wasitisha kucheza nyimbo za Wasanii wa WCB

EATV na EA Radio wasitisha kucheza nyimbo za Wasanii wa WCB

Zile tuzo mi nilijua tu kuna mtu ana tafutwa, na walio kuwa wakimtafuta walijua kwa njia ile wata mpata tuu.
Japo ni shabiki mkubwa wa EA TV na Radio, kwa hilo naona wamefanya blunder kama ni kweli, kwani wao yaan hawawezi kumrudisha diamond nyuma hata kidogo kwa figisu zao, waendelee kumtisha huyo huyo Ali Kiba.
Watampunguza tu kasi
 
WCB Juu haters gonna hate Ea TV acheni Kokorokokoro Unavosasambua[/kama Nguo Mnadanii ayaya Girl I want to see oooh
 
Teh nani kakwambia hawajazagi fomu hao kina wasafi wanaposhiriki mpaka vijituzo vya uchochoroni nje ya tanzania wanajaza fomu kwa nini wasijaze kwao lazima ujaze fomu kuonyesha unakubaliana na vigezo na masharti yao na wao wakubali kama unakidhi kushiriki kipengele unachotaka kushiriki
Unakielewa ulichoandika
 
Waliweka tuzo zao kishabiki sana, dizain kama walikuwa wameandaa msumari wao wa mwisho kumshusha dai, coz kila mtu anajua wana eatv na E redio ni team kiba, toka siku nyingii, kipindi cha nani zaidi cha redio kila j2 can tell it all, sijui ni mara ya 20 sasa wanampambanisha kiba na dai, na kila wakiwapambanisha anashinda kiba, lakini hawaridhiki wanarudia tena na tena, sasa walivyoona kwenye mpambano wa redio hauna mashiko tena wakaja na tuzo, blah blah nyiiingiiiiiii, kumbe lengo lao lote ni kiba na dai waumae, sasa hawakujua yule mtoto wa tandale anajicho la tatu akaliona hilo, akazitolea nje.
Umeongea point sana kaka
 
Back
Top Bottom