Paula kilaki
JF-Expert Member
- Jun 26, 2014
- 1,909
- 1,290
Ngoja nifuatilie, maana hapo kabla ya tuzo ilikuwa ukitoka wimbo wa kiba LAZIMAAAA uingie wa dai yaani hadi kerooooFanya utafiti then utagundua
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Ngoja nifuatilie, maana hapo kabla ya tuzo ilikuwa ukitoka wimbo wa kiba LAZIMAAAA uingie wa dai yaani hadi kerooooFanya utafiti then utagundua
Hahahaaaaaa yameanza kutimia eeeh!?Radio nyimbo wamezima
TV ndo hataree meneja limebaki jina hanitaka hata tale
Wale rafiki zangu kina OmmY ......,....
Watampunguza tu kasiZile tuzo mi nilijua tu kuna mtu ana tafutwa, na walio kuwa wakimtafuta walijua kwa njia ile wata mpata tuu.
Japo ni shabiki mkubwa wa EA TV na Radio, kwa hilo naona wamefanya blunder kama ni kweli, kwani wao yaan hawawezi kumrudisha diamond nyuma hata kidogo kwa figisu zao, waendelee kumtisha huyo huyo Ali Kiba.
Hapo kwenye laana hapo mbona unatujumuisha wote?
EehWatampunguza tu kasi
Kokoro imepigwa jana tu kwenye super mix i doubt your information
Unakielewa ulichoandikaTeh nani kakwambia hawajazagi fomu hao kina wasafi wanaposhiriki mpaka vijituzo vya uchochoroni nje ya tanzania wanajaza fomu kwa nini wasijaze kwao lazima ujaze fomu kuonyesha unakubaliana na vigezo na masharti yao na wao wakubali kama unakidhi kushiriki kipengele unachotaka kushiriki
Umeongea point sana kakaWaliweka tuzo zao kishabiki sana, dizain kama walikuwa wameandaa msumari wao wa mwisho kumshusha dai, coz kila mtu anajua wana eatv na E redio ni team kiba, toka siku nyingii, kipindi cha nani zaidi cha redio kila j2 can tell it all, sijui ni mara ya 20 sasa wanampambanisha kiba na dai, na kila wakiwapambanisha anashinda kiba, lakini hawaridhiki wanarudia tena na tena, sasa walivyoona kwenye mpambano wa redio hauna mashiko tena wakaja na tuzo, blah blah nyiiingiiiiiii, kumbe lengo lao lote ni kiba na dai waumae, sasa hawakujua yule mtoto wa tandale anajicho la tatu akaliona hilo, akazitolea nje.