Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
ni kweliBongo hakuna zuri hata cku moja. Cdhani kama hizi habari ni za ukweli
mbna hii hbr haina reliable source na mkuu umechukia hivi......Binafsi niliona ni utoto kwa kituo kikubwa kama hicho kuwa na think tank kama wakina sallama zaidi ya kujua kutangaza hawajujui chochote kuhusu management ya mziki. Huwezi ukawambia wasanii wajipendekeze kwa ajili ya tuzo..that's was insanity.. Siyo haki kabsa.. !! Ni upuuzi sana style yao hiyo. Kwann msiwambie watu wapige kura wawapendeke wasanii.
Tatzo nchi hii media kuwa na nguvu zaidi ya wasanii..naombea E TV ya majizo isiyo na mambo ya kipuuzi hivi.
Natangaza na mm tokea Leo siangalii tena TV yenu kwanza Hamna kipind cha maana. Hii ngozi yetu imelaaniwa.
Jana wamezungumza wakasema kuwa,wasanii wanajaza form ili akubali kipengele anachopangwa, tatizo mashabiki uchwara hata wawasikilizi ea radio ndio maana wanaandika kishabiki tuTuzo zote duniani lazima ujaze fomu za kukubali masharti na vigezo vyao ili ushiriki hata grammy ndio maana tuzo za kili zinakuaga na madudu sbb wanawashirikisha wasanii hata wasiotaka kushiri sbb
Hapo kwenye laana hapo mbona unatujumuisha wote?Binafsi niliona ni utoto kwa kituo kikubwa kama hicho kuwa na think tank kama wakina sallama zaidi ya kujua kutangaza hawajujui chochote kuhusu management ya mziki. Huwezi ukawambia wasanii wajipendekeze kwa ajili ya tuzo..that's was insanity.. Siyo haki kabsa.. !! Ni upuuzi sana style yao hiyo. Kwann msiwambie watu wapige kura wawapendeke wasanii.
Tatzo nchi hii media kuwa na nguvu zaidi ya wasanii..naombea E TV ya majizo isiyo na mambo ya kipuuzi hivi.
Natangaza na mm tokea Leo siangalii tena TV yenu kwanza Hamna kipind cha maana. Hii ngozi yetu imelaaniwa.
Basi wataumia wengi kwa maana kwenye Tunzo walikuwa wasanii wachache mno.Fanya utafiti then utagundua
Nakuunga mkono hata mm sitaki na marufuku nyumbani kwangu kuangalia Eatv ni upuuzi sana kutaka kumchezea Diamond Mungu amemuinua hakuna atakaeweza kumshusha chini ila mwenyezi Mungu pekeeBinafsi niliona ni utoto kwa kituo kikubwa kama hicho kuwa na think tank kama wakina sallama zaidi ya kujua kutangaza hawajujui chochote kuhusu management ya mziki. Huwezi ukawambia wasanii wajipendekeze kwa ajili ya tuzo..that's was insanity.. Siyo haki kabsa.. !! Ni upuuzi sana style yao hiyo. Kwann msiwambie watu wapige kura wawapendeke wasanii.
Tatzo nchi hii media kuwa na nguvu zaidi ya wasanii..naombea E TV ya majizo isiyo na mambo ya kipuuzi hivi.
Natangaza na mm tokea Leo siangalii tena TV yenu kwanza Hamna kipind cha maana. Hii ngozi yetu imelaaniwa.
Ni kweli kuna kipind walikuwa hawapigi nyimbo za domoMleta Mada anapropaganda zake analeta hapa mwaka gani huo Eatv/radio walikuwa hawapigi nyimbo za diamond..!?
Wakati miaka yote diamond akiwa anachia wimbo lazima alikuwa anaenda FNL kurelease...!!
Mfumbe macho asijioneTatizo chibu anajiona sana
Tofautisha kati ya kujaza form ya kukubaliana na vigezo, na kujaza form ya kuomba uwe kwenye tuzoTeh nani kakwambia hawajazagi fomu hao kina wasafi wanaposhiriki mpaka vijituzo vya uchochoroni nje ya tanzania wanajaza fomu kwa nini wasijaze kwao lazima ujaze fomu kuonyesha unakubaliana na vigezo na masharti yao na wao wakubali kama unakidhi kushiriki kipengele unachotaka kushiriki
Tofautisha kati ya kujaza form ya kukubaliana na vigezo, na kujaza form ya kuomba uwe kwenye tuzo
Ushawah kuwa unatongoza alafu akakwambia umuelezee umempendea nn then ndo akukubaliekwani kuna shida gani mtu kujaza fomu kushiriki kwenye tunzo? tena hii ndio nzuri maana kwenye kill tulikuwa tuna wanominate mwisho wa siku wanajitoa.....
Ukweli mchungu huo meza hakuna namnaMfumbe macho asijione
Kwani eatv waliweka fomu za kuomba? Foma maombi na fomu ya kuthibitisha umekubaliana na vigezo na masharti ni tofauti wale waliweka fomu ujaze mwenyewe unataka kishiriki kipengele gani kwa muziki upi sio wakuweke huku wewe useme wamekoseaTofautisha kati ya kujaza form ya kukubaliana na vigezo, na kujaza form ya kuomba uwe kwenye tuzo
Tangu kutolewa kwa tuzo za EATV awards vituo vya eatv na ea radio vimekuwa havipigi nyimbo za msanii wowote wa WCB wala kutoa habari zao
Tetesi zinasema kitendo cha WCB kutoshiriki tuzo hizo hakijawafurahisha Eatv na kuamua kusitisha huduma hiyo
Ikumbukwe Eatv awards ilikuwa ili kushiriki msanii lazima ajaze form za kujipendekeza kwenye vipengele kitendo kilichofanya wasanii wengi wasishiriki.
Ikumbukwe mwaka 2015 Eatv na radio walikuwa hawapigi nyimbo za Diamond platnumz mpaka mapema mwaka huu mwezi wa 4 waliposuluhisha pande zote mbili.
View attachment 446963