Me I and my self
JF-Expert Member
- Sep 16, 2016
- 4,077
- 8,828
Nyie ndo mnajua hivyo hicho ndo kituo bora zaidi
Ni kweli hiyo eatv haina kipindi cha maana?
Hivi E-FM wanacheza nyimbo za Man-fongo?
Ila usingemtaja huyo mwingine.Zile tuzo mi nilijua tu kuna mtu ana tafutwa, na walio kuwa wakimtafuta walijua kwa njia ile wata mpata tuu.
Japo ni shabiki mkubwa wa EA TV na Radio, kwa hilo naona wamefanya blunder kama ni kweli, kwani wao yaan hawawezi kumrudisha diamond nyuma hata kidogo kwa figisu zao, waendelee kumtisha huyo huyo Ali Kiba.
HaahaaaaaNa matangazo ya vodacom ya diamond wanayarusha au wamesitisha?
wabongo bana sasa badala ya kuangalia mtu amejikwaa wapi unalaumu alipoangukia RUGE ni Godfather wa bongo kawashika kamba za kina said fella na babu tale sasa East Africa wame retareate hapo sasa tuone nani mbabeZile tuzo mi nilijua tu kuna mtu ana tafutwa, na walio kuwa wakimtafuta walijua kwa njia ile wata mpata tuu.
Japo ni shabiki mkubwa wa EA TV na Radio, kwa hilo naona wamefanya blunder kama ni kweli, kwani wao yaan hawawezi kumrudisha diamond nyuma hata kidogo kwa figisu zao, waendelee kumtisha huyo huyo Ali Kiba.
Habari hii ni ya uongoTangu kutolewa kwa tuzo za EATV awards vituo vya eatv na ea radio vimekuwa havipigi nyimbo za msanii wowote wa WCB wala kutoa habari zao
Tetesi zinasema kitendo cha WCB kutoshiriki tuzo hizo hakijawafurahisha Eatv na kuamua kusitisha huduma hiyo
Ikumbukwe Eatv awards ilikuwa ili kushiriki msanii lazima ajaze form za kujipendekeza kwenye vipengele kitendo kilichofanya wasanii wengi wasishiriki.
Ikumbukwe mwaka 2015 Eatv na radio walikuwa hawapigi nyimbo za Diamond platnumz mpaka mapema mwaka huu mwezi wa 4 waliposuluhisha pande zote mbili.
View attachment 446963
Hapo mwoshoni umeua mzee... HahahahaaHii nchi nzito sana,kila kitu kigumu na kuwekeana ugumu,sijaona tatizo hapo la kusababisha kutopigwa kwa nyimbo zao,Sisi ngozi nyeusi Nuksi sana....
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]Na matangazo ya vodacom ya diamond wanayarusha au wamesitisha?
[emoji28] [emoji28] [emoji28] [emoji28]Ila usingemtaja huyo mwingine.
Haki ya mungu na fall in luv na comments zako.yani juzi tu nilisema media zinaonyesha chuki za wazi kabisa kwa WCB
wapige tu nyimbo za Darassa, kiba ladyjaydee. nakadhalika.....
wcB waiache
mwenye shida ataifata youtube, uzuri sikuhizi kila kitu mtandaoni
Fanya utafiti then utagundua