EATV na EA Radio wasitisha kucheza nyimbo za Wasanii wa WCB

Wako sawa kama mondi kila mondi ikifanya mahojiano anaanza mawingu huku kungine anaenda kama kukamilisha latiba
 
Wasanii wengine ambao hawakushiriki kando ya wasafi wanawachukulia hatua gani?? Hahahah media houses za bongo upuuzi mtupu kweli
 
Kama habari hiyo si ya kweli ONYO KWA MLETA MADA USILETE HABARI BILA KUWA NA CHANZO CHA KUAMINIKA lakin wito wangu kwa media kutoendesha baadhi ya tuzo kwa style za ajabu ajabu ambazo kwa namna moja ama nyingine zinaweza kupelekea wasanii WENGI kutoshiriki kutokana na kutiridhishwa na style ya uendeshwaji
 
hivi kuna shida gani msanii kujaza fomu? kwa sababu ni wasanii wakubwa?
 
kuna shida ghan kutumia silah ilioko ghalan mwako wakati wa vita>.
 
Hii habari bado ni tetesi,japo hilo linaweza kutokea kwasababu hao watu wa hiyo media ni kama walikuwa WANATAFUTIA SABABU,kwahiyo kama hii habari ni kweli basi sababu ndio hiyo iliyokuwa inatafutwa na wameshaipata na huo ni uamuzi wao wa vile wanavyoamua kujiendesha. EATV/RADIO hawako sawa na DIAMOND tokea kitambo, na hata WCB wanajua kabisa hiyo media hawako nao poa,na si jambo la ajabu duniani kukuta baadhi ya media kutokuwa vizuri na msanii fulani. Lakini pia WCB walikosea sana kutokumpeleka hata msanii mmoja wa kuzugia au wakupoteza maboya ili japo ionekane kuwa hawajajitenga kabisa na tuzo zao. Sasa tuseme tu kama hii habari ni kweli basi sitarajii kuona wanatengwa WCB tu,bali karibia wasanii wote ambao hawakushiriki hizo tuzo,kinyume na hapo basi watakuwa na sababu zao zingine na sio hizo tuzo.
 
Nilikwambia mim
Acha mahaba ya kijinga
 
Toka lini Kanye West achukue form ya kujipendekeza kupewa tuzo this is utter non sense... Radio yenyewe ni ya hovyo hovyo.. diamond is biggger than that local radio
 
Nimeshangaa sana jana usiku kipindi cha AMSHA POPO NYIMBO ZA ALI KIBA ZINAJIRUDIA MARA SABA SABA
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…