EATV na EA Radio wasitisha kucheza nyimbo za Wasanii wa WCB

Duh! Bora wasipige kbs kuliko unafk waliokuwa wanamfanyia mchizi na crew yake.
 
mbna hii hbr haina reliable source na mkuu umechukia hivi......
 
Mbona Jana kwenye planet bongo ndio walianza na wimbo wa diamond na hawa, nawajua wale wanaweredi sio kama redio makopo au mbao.mambo mengine wanawasingizia sana
 
Tuzo zote duniani lazima ujaze fomu za kukubali masharti na vigezo vyao ili ushiriki hata grammy ndio maana tuzo za kili zinakuaga na madudu sbb wanawashirikisha wasanii hata wasiotaka kushiri sbb
Jana wamezungumza wakasema kuwa,wasanii wanajaza form ili akubali kipengele anachopangwa, tatizo mashabiki uchwara hata wawasikilizi ea radio ndio maana wanaandika kishabiki tu
 
Hapo kwenye laana hapo mbona unatujumuisha wote?
 
Fanya utafiti then utagundua
Basi wataumia wengi kwa maana kwenye Tunzo walikuwa wasanii wachache mno.
-wasanii wakiwa na tofauti, media zikatengeneza utofauti basi mziki wa Tanzania utarudi nyuma.
 
Muda huu napoandika hapa
Wimbo wa Salome upo hewani via EA radio
tuache upotoshaji watanzania
 
Nakuunga mkono hata mm sitaki na marufuku nyumbani kwangu kuangalia Eatv ni upuuzi sana kutaka kumchezea Diamond Mungu amemuinua hakuna atakaeweza kumshusha chini ila mwenyezi Mungu pekee
 
Mleta Mada anapropaganda zake analeta hapa mwaka gani huo Eatv/radio walikuwa hawapigi nyimbo za diamond..!?
Wakati miaka yote diamond akiwa anachia wimbo lazima alikuwa anaenda FNL kurelease...!!
Ni kweli kuna kipind walikuwa hawapigi nyimbo za domo
 
Tofautisha kati ya kujaza form ya kukubaliana na vigezo, na kujaza form ya kuomba uwe kwenye tuzo
 
kwani kuna shida gani mtu kujaza fomu kushiriki kwenye tunzo? tena hii ndio nzuri maana kwenye kill tulikuwa tuna wanominate mwisho wa siku wanajitoa.....
Tofautisha kati ya kujaza form ya kukubaliana na vigezo, na kujaza form ya kuomba uwe kwenye tuzo
 
kwani kuna shida gani mtu kujaza fomu kushiriki kwenye tunzo? tena hii ndio nzuri maana kwenye kill tulikuwa tuna wanominate mwisho wa siku wanajitoa.....
Ushawah kuwa unatongoza alafu akakwambia umuelezee umempendea nn then ndo akukubalie
 
Tofautisha kati ya kujaza form ya kukubaliana na vigezo, na kujaza form ya kuomba uwe kwenye tuzo
Kwani eatv waliweka fomu za kuomba? Foma maombi na fomu ya kuthibitisha umekubaliana na vigezo na masharti ni tofauti wale waliweka fomu ujaze mwenyewe unataka kishiriki kipengele gani kwa muziki upi sio wakuweke huku wewe useme wamekosea
 

EATV walifunga kupokea fomu (zaidi ya miezi 2 iliyopita) na walitangaza 'nominees' wa kupigiwa kura mwezi wa 11.
Ina maana muda wote huo walikuwa hawajajua kuwa WCB hawajashiriki (kama unavyodai) mpaka baada ya kutoa tuzo ndio wakashtukizia "wakaacha" kupiga nyimbo zao? Ina maana tunaoona au kusikia nyimbo zao kwenye hivyo vituo tuna matatizo ya macho na masikio? ....Ushabiki ni kitu cha kawaida na unaruhusiwa lakini sio kupitiliza na kupotosha watu.

Kabla ya kupachika "tetesi" nyingine nakushauri ufanye utafiti mdogo kujua wasanii wanashiriki vipi tuzo za MTV MAMA, MTV EMA au AFRIMMA.
 
Waliweka tuzo zao kishabiki sana, dizain kama walikuwa wameandaa msumari wao wa mwisho kumshusha dai, coz kila mtu anajua wana eatv na E redio ni team kiba, toka siku nyingii, kipindi cha nani zaidi cha redio kila j2 can tell it all, sijui ni mara ya 20 sasa wanampambanisha kiba na dai, na kila wakiwapambanisha anashinda kiba, lakini hawaridhiki wanarudia tena na tena, sasa walivyoona kwenye mpambano wa redio hauna mashiko tena wakaja na tuzo, blah blah nyiiingiiiiiii, kumbe lengo lao lote ni kiba na dai waumae, sasa hawakujua yule mtoto wa tandale anajicho la tatu akaliona hilo, akazitolea nje.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…