Mzizi wa Mbuyu
JF-Expert Member
- May 15, 2009
- 7,375
- 6,958
Mhhh!
Makabila mangapi yanatumia maneno hayo kama tusi?
EATV ina'cover eneo gani...EA FYI!
Any word can be an INSULT in some other tribe's language!
Tusiwe unnecessarily waoga mazee!
Hata nnyo pia linamaanisha Uke kwa makabila mengi tu....Hivi(swali la kizushi) ni kwa nini inapotokea mtu kataja jina la kiungo cha uzazi cha mwanamke au mwanaume inaonekana ni tusi???,mbona tunapoonge kiingereza tunayataja kwa urahisi tu bila kujiuliza mara mbilimbili?,ni utamaduni ama?...Iifikie kipindi tubadilike sasa maana inakuwa ngumu hata kwa wazazi kuwapa watoto wao elimu ya uzazi i.e viungo vya uzazi na kazi zake(ambayo yaweza kuwasaidia kujikinga na magonjwa kama Ukimwi na yale mengine ya kujamiiana,pia kuepukana na Mimba zisizotarajiwa)
Kuna maneno soft mengi tu yanaweza kutumika kumaanisha maana ileile, ndiyo maana badala ya kutamka ******, kuna maneno kama Kujamiiana nk, yote ni katika kufanya vipindi viangaliwe na watu wa rika na jinsia tofauti bila kuleta usumbufu.
Ni kwa nini tusiyatumie maneno halisi tu badala ya kuzungukazungukaaa...Maana hakuna kipya hapa..ni unafiki????????????
Ni kwa nini tusiyatumie maneno halisi tu badala ya kuzungukazungukaaa...Maana hakuna kipya hapa..ni unafiki????????????
Mkuu vipi? inawezekana kweli hali hiyo?? maana hata wewe umeshindwa kuzitaja hizo sehemu waziwazi kwa lugha ya moja kwa moja!!
Mh, hapana bwana siyo hii jamii yetu.
Yule dada anajua anacho kimaanisha ndiyo maana hugeuka mbogo akiitwa Indutu-nyo, nini kinamkera?
Si kwamba nimeshindwa kuzitaja nina weza kuzitaja,tatizo ni kwamba hairuhusiwi hapa jamvini(JF) so nikizitaja nitakuwa navunja sheria kwa makusudi ilhali nazijua...Ninachojiuliza ni kwa nini inakuwa vigumu kuvitaja viungo hivi(kwa kiswahili) wakati kwa kiingerza tunavitamka waziwazi bila hata ya kuumauma maneno?,utakuta mtu akimsikia mwenzie katamka k... ama m... anamwambia katukana baadae utamsikia mtu huyo huyo anayemwambia mwenzie katukana anavitaja viungo hivyo kwa kiingereza kwa uwazi kabisa bila kujiumauma
Mkuu umenena, sasa kama hapa JF ambapo tuna-dare ku-talk openly inakuwa ngumu kuzitaja itwezekanaje kwenye jamii zetu zenye maadili kibao!?
La pili, ya Waingereza niyao na ya Waswahili ni yetu.......mie naamini kama kingereza kingekuwa lugha ya taifa kama kilivyo kiswahili bado viungo hivi visingetamkika kirahisi katika jamii zetu.
Mkuu ukitumia lugha yako ya kwanza kutamka neno lolote uzito unakua mkubwa zaidi....inawezekana ni kwa sababu tumekua katika malezi ya kwamba ni vibaya kutamka maneno hayo hadharani, na hii ni tangu unazaliwa.Ni kwa nini tusiyatumie maneno halisi tu badala ya kuzungukazungukaaa...Maana hakuna kipya hapa..ni unafiki????????????
Mkuu ukitumia lugha yako ya kwanza kutamka neno lolote uzito unakua mkubwa zaidi....inawezekana ni kwa sababu tumekua katika malezi ya kwamba ni vibaya kutamka maneno hayo hadharani, na hii ni tangu unazaliwa.
Haya ya kiingereza ama kitaliano tumeyajua ukubwani, kipindi cha yale malezi kishapita.
Ni rahisi kwako kutamka tusi kwa kinyakyusa kuliko kutamka kisukuma (kama wewe ni msukuma)