MTWA
JF-Expert Member
- Aug 5, 2009
- 1,166
- 168
suppose yanamaanisha hivyo. Ninakuhoji, Liendelee au libadilishwe?No coment!! maneno hata siyaelewi
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
suppose yanamaanisha hivyo. Ninakuhoji, Liendelee au libadilishwe?No coment!! maneno hata siyaelewi
Hata nnyo pia linamaanisha Uke kwa makabila mengi tu....Hivi(swali la kizushi) ni kwa nini inapotokea mtu kataja jina la kiungo cha uzazi cha mwanamke au mwanaume inaonekana ni tusi???,mbona tunapoonge kiingereza tunayataja kwa urahisi tu bila kujiuliza mara mbilimbili?,ni utamaduni ama?...Iifikie kipindi tubadilike sasa maana inakuwa ngumu hata kwa wazazi kuwapa watoto wao elimu ya uzazi i.e viungo vya uzazi na kazi zake(ambayo yaweza kuwasaidia kujikinga na magonjwa kama Ukimwi na yale mengine ya kujamiiana,pia kuepukana na Mimba zisizotarajiwa)