Hismastersvoice
JF-Expert Member
- Jan 26, 2013
- 24,523
- 30,084
Kama kichwa cha Post kinavyojieleza, mwenye kujua jina la hicho chama naomba aliweke hapa maana nimejaribu kukitafuta nimeshindwa.
Muda tulionao sasa mpaka kufikia uchaguzi mkuu haiwezekani kwa chama kipya kusajiliwa. Chama kipya kimesajiliwa nchini Kenya kikiongozwa na Rigathi Gachagua.Kama kichwa cha Post kinavyojieleza, mwenye kujua jina la hicho chama naomba aliweke hapa maana nimejaribu kukitafuta nimeshindwa.
Ni cha kabila gani hiki?DCP cha Gachagua 🐼🇰🇪
Hafiki popote! Mlima na nchi ya Mmumbi ni mali ya Kenyatta!Ni Democracy for Citizens Party (DCP) kimeasisiwa na Rigathi Gachagua leo 15/05/2025 - Kenya.
Wakikuyu wa Maeneo ya mount kenyaNi cha kabila gani hiki?
Ila kwa janjajanja ya wavuruga katiba wanaweza kuamua kusajili alimradi kifuate matakwa yaoMuda tulionao sasa mpaka kufikia uchaguzi mkuu haiwezekani kwa chama kipya kusajiliwa. Chama kipya kimesajiliwa nchini Kenya kikiongozwa na Rigathi Gachagua.
Habari za Kenya zina ukurasa wake.ni kenya
Habari za nyumbani zinawezaje kuwa za Kenya, za Kenya zingekuwa za Afrika Mashariki.ni kenya
Huko ni Kenya....kwa Moto huu WA bongo usajili chama sahiviKama kichwa cha Post kinavyojieleza, mwenye kujua jina la hicho chama naomba aliweke hapa maana nimejaribu kukitafuta nimeshindwa.
Habari za nyumbani haziwezi kuwa za Kenya.Huko ni Kenya....kwa Moto huu WA bongo usajili chama sahivi
Nyumbani kivipi....kuna habari za nje ?Habari za nyumbani haziwezi kuwa za Kenya.
Basi hayaHabari za Kenya zina ukurasa wake.
Uwe na Usiku mwemaHabari za nyumbani zinawezaje kuwa za Kenya, za Kenya zingekuwa za Afrika Mashariki.
Wewe kabisa unawish mtu usiku mwema badala ya kurusha tusi? Kweli kabisa duniani kuna mambo!Uwe na Usiku mwema