EATV saa moja jioni leo 15/05/2025: chama kipya kimesajiliwa

EATV saa moja jioni leo 15/05/2025: chama kipya kimesajiliwa

Muda tulionao sasa mpaka kufikia uchaguzi mkuu haiwezekani kwa chama kipya kusajiliwa. Chama kipya kimesajiliwa nchini Kenya kikiongozwa na Rigathi Gachagua.
Na je muda tulionao sasa mpaka uchaguzi wa oktoba, mtu atayehama chama cha siasa ataruhusiwa kugombea kwa chama alichohamia?
 
Na je muda tulionao sasa mpaka uchaguzi wa oktoba, mtu atayehama chama cha siasa ataruhusiwa kugombea kwa chama alichohamia?
Ndio akihamia chama kingine anakuwa na haki zote za uanachama.
 
Back
Top Bottom