IKIRIRI
JF-Expert Member
- Jan 14, 2018
- 2,734
- 3,023
Mapenzi bwana, mwingizaji maarufu Ebitoke amevamia mkutano aliofanya mpenzi wake wa zamani bwana Mlela akimtuhumu kumlaghai
Katika purukushani hizo Ebitoke ambaye alifuatana na kaka yake,Kaka wa Ebitoke anamtuhumu bwana Mlela kumwaribia maisha dada yake.
Hata hivyo waliondolewa ukumbini na mabaunsa.
Mbaya zaidi ametoa matusi mazito adharani,nitashangaa sana BASATA na TCRA wakikaa kimya katika hili.
Pia nadhani mnaona umuhimu wa kuwa na mlinzi.,coz bila wao hali ingekuwa tete.