Ebitoke ni maskini sana jamani khaaa.

walikua wanamiliki adi baiskeli cjui n Avon au Phoenix wakat watu tumetoka maisha ya kufulia nguo kwa povu la katani
heri yako ulietokea ushuani
 
Kwani wale wanaume tata (ma'delicious) huwa wanawekwa kundi gani? Huwa wana mipasho kike, inasikitisha sana.
Umejuaje kama mleta mada ni mwanaume? Mbona mwandiko wa kike kabisa??
 
Uncle, tatizo huyu Ebitoke ana nyodo sana ,mara kwa mara amekuwa akiwaponda wenzake ,ameshagombana na wengi sana akiwemo shilole na gigy, sasa tulitarajia huenda ametokea maisha bora au ana maisha bora kumbe........
Wewe ndo mumbea! Ebitoke alishaeleza maisha yake jinsi alivyoishia la saba na anatoka familia maskini au ya kawaida. Kwa sisi tuliozaliwa vijijini hiyo ni familia ya kawaida na yawezekana pale kijijini ndo wenye ving'ombe viwili na kuku kumi pamoja na mbuzi watano. Wewe unaongea nadhani umezaliwa Manzese kwenye magorofa ya urafiki. Mengi alizaliwa kwenye nyumba ya matope je, amefariki akiwa kwenye hali gani?
 
Kwa mavazi gani sasa hapo, manguo yenyewe yamepauka pauka.
Tuwekee na wewe picha ya zamani kijijini kwenu
Huwezi kuakisi maisha ya sasa ya mtu kwa kutumia picha za zamani,unajuaje kama ameshapiga mtama hiyo nyumba
 
M Mzee mengi alikuwa akilala kwenye mabanda ya ng'ombe na akawa tajiri mkubwa baadae. Sasa basi na amefariki na amezikwa yeye na sanduku lake tu, Mali zote ameziwacha. Sasa wewe mwenzangu ambae unamshangaa huyo dada wa watu kwa umaskini aliokuwa nao, Hebu jiulize wewe wazee wako watazikwa (walizikwa) na gari zao na vitanda vyao..?
 

Mkuu ninakushauri usome kitabu cha marehemu Mzee Mengi "I can, I will, I must". Hapa unayemnanga si Ebitoke ni wazazi wake kitu ambacho si sawa ninadhani, waache hao wazee wapumzike zao huko waliko. Nihitimishe kwa quote ya Bill Gate " If
you are
born Poor
its
not your mistake
,
but if
you
die poor
its
your mistake
 
Yajue ya kuzingatia ili uachane na yasiyo kuhusu
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…