Issuna
JF-Expert Member
- Sep 3, 2014
- 3,203
- 7,628
Hapo ni kwa wazazi wa ebitoke..lawama wapewe Wazazi wake...Tuonyesheni nyumba ya Ebitoke hiyo picha ni kuwashushia heshima wazazi wake waliomlea kwa shida mpaka mtoto wao akaweza jitegemea.Yani mbwembwe zote zile za kuwa diss wenzake nikajua labda ametokea maisha bora kumbe katokea kuishi nyumba ya udongo mvua kubwa ikinyesha nyumba inamomonyoka [emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23].
Sitasahau siku zile alivyokuwa anamtusi Shilole kwamba hawezi kubishana na mama ntilie nikajua labda huenda anamaisha mazuri kumbeeee...............,.........
Yani hapa wamepauka maskini ya Mungu hata uwezo wa kununua mafuta ya mgando walikuwa hawana, bila shaka walikuwa wanatumia mafuta ya kula kujipakaa mwilini.
Yani huyu dada ndiyo maana hata make ups huwa zinamkataa , licha ya kuweka makeups ugumu wa sura yake unabaki pale pale , yani hapendezagi kabisa ,ila kwa nyodo sasaaaa .........
View attachment 1095843
tuonyeshe nyumba ya ebitoke..acheni wazazi maana hata wazazi wa shilole hawana tofauti na wa ebitoke.