Ebitoke ni maskini sana jamani khaaa.

Ebitoke ni maskini sana jamani khaaa.

Uncle, tatizo huyu Ebitoke ana nyodo sana ,mara kwa mara amekuwa akiwaponda wenzake ,ameshagombana na wengi sana akiwemo shilole na gigy, sasa tulitarajia huenda ametokea maisha bora au ana maisha bora kumbe........
Kwani kugombana na watu sharti uwe umetokea maisha bora au mazuri?

Wewe utakuwa ni gigi money au shilole.

Kwanza hao anaogombana nao wenyewe ni vichwa vigumu pia.
Badilika aise
 
Mleta mada ni zwazwa yani unataka mtu akizaliwa maskini aendelee kuwa maskini mpaka kufa?
Life changes bro hata huku kwetu kuna mama anaitwa prof Tibaijuka, alizaliwa nyumba ya nyasi ila sahizi ana mihela mingi mpaka shopping ya mboga anafanya Doha Qatar
 
Yani mbwembwe zote zile za kuwa diss wenzake nikajua labda ametokea maisha bora kumbe katokea kuishi nyumba ya udongo mvua kubwa ikinyesha nyumba inamomonyoka [emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23].

Sitasahau siku zile alivyokuwa anamtusi Shilole kwamba hawezi kubishana na mama ntilie nikajua labda huenda anamaisha mazuri kumbeeee...............,.........

Yani hapa wamepauka maskini ya Mungu hata uwezo wa kununua mafuta ya mgando walikuwa hawana, bila shaka walikuwa wanatumia mafuta ya kula kujipakaa mwilini.


Yani huyu dada ndiyo maana hata make ups huwa zinamkataa , licha ya kuweka makeups ugumu wa sura yake unabaki pale pale , yani hapendezagi kabisa ,ila kwa nyodo sasaaaa .........
View attachment 1095843
Hivi bado yupo au wameshakachezea na kukaacha?
 
Nimeangalia avatar mara mia mia nikilinganisha 'mchambo' na ID. Aisee kuna watu wana uwezo mkubwa wa kuwabadili wanaume! Kha!
 
Back
Top Bottom