safuher
JF-Expert Member
- Feb 11, 2019
- 11,837
- 17,412
Kwani kugombana na watu sharti uwe umetokea maisha bora au mazuri?Uncle, tatizo huyu Ebitoke ana nyodo sana ,mara kwa mara amekuwa akiwaponda wenzake ,ameshagombana na wengi sana akiwemo shilole na gigy, sasa tulitarajia huenda ametokea maisha bora au ana maisha bora kumbe........
Wewe utakuwa ni gigi money au shilole.
Kwanza hao anaogombana nao wenyewe ni vichwa vigumu pia.
Badilika aise