Ebitoke ni maskini sana jamani khaaa.

Ebitoke ni maskini sana jamani khaaa.

Yani mbwembwe zote zile za kuwa diss wenzake nikajua labda ametokea maisha bora kumbe katokea kuishi nyumba ya udongo mvua kubwa ikinyesha nyumba inamomonyoka [emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23].

Sitasahau siku zile alivyokuwa anamtusi Shilole kwamba hawezi kubishana na mama ntilie nikajua labda huenda anamaisha mazuri kumbeeee...............,.........

Yani hapa wamepauka maskini ya Mungu hata uwezo wa kununua mafuta ya mgando walikuwa hawana, bila shaka walikuwa wanatumia mafuta ya kula kujipakaa mwilini.

Yani huyu dada ndiyo maana hata make ups huwa zinamkataa , licha ya kuweka makeups ugumu wa sura yake unabaki pale pale , yani hapendezagi kabisa ,ila kwa nyodo sasaaaa .........
View attachment 1095843
Sasa mbona huyo dogo kulia kwa Ebitoke ni domo. Walikulia familia moja hawa wasanii vioo vya jamii?
 
Mpaka wewe kuipata hiyo picha ni dhahiri ni yeye Ebitoke mwenyewe kaitoa. Na kitendo cha yeye kutokuonea aibu alikotokea basi huo ni utajiri mkubwa mno kuliko hata unavyodhani.
Kama kipimo chako cha utajiri kimeegemea kwenye kipato pekee basi hakika wewe ni maskini mkubwa wa kifikra na mwenye umaskini wa kifikra hata akiwa na mabilioni ya pesa daima atabaki kuwa fukara.
Mzee Mengi alikuwa na mahekalu ila kazikwa kwenye kisehemu kidogo sana cha ardhi kwa mlinganisho wa mali aliyokuwa anamiliki.
Halkadhalika na wewe unayejiona tajiri usidhani hiyo smartphone yako utazikwa nayo. Kuwa na staha kidogo katika kauli zako maana hapo si Ebitoke pekee uliyemdhihaki, umedhihaki familia yake yote ambayo sidhani kama imekukosea chochote.
 
We jamaa fala sana aisee! Maana maneno yako kama Bashite.
 
Yani mbwembwe zote zile za kuwa diss wenzake nikajua labda ametokea maisha bora kumbe katokea kuishi nyumba ya udongo mvua kubwa ikinyesha nyumba inamomonyoka [emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23].

Sitasahau siku zile alivyokuwa anamtusi Shilole kwamba hawezi kubishana na mama ntilie nikajua labda huenda anamaisha mazuri kumbeeee...............,.........

Yani hapa wamepauka maskini ya Mungu hata uwezo wa kununua mafuta ya mgando walikuwa hawana, bila shaka walikuwa wanatumia mafuta ya kula kujipakaa mwilini.

Yani huyu dada ndiyo maana hata make ups huwa zinamkataa , licha ya kuweka makeups ugumu wa sura yake unabaki pale pale , yani hapendezagi kabisa ,ila kwa nyodo sasaaaa .........
View attachment 1095843
Jamii forum kila mtu ni maisha bora,unamcheka mwenzako wakati asilimia 90 ya wote mnaocomment hapa mlitoka huko?
 
Poa mkuu lakini punguza habari za kichoko. Naamini wewe ni mtu mwema hila tabia yako sio nzuri kabisa. Ata kama ebi ni msanii lakini maisha ya kwao hayawezi kua kielelezo cha yeye alivyo.
Watu wakishanunua vitz,upo mjini anajiona kafanikiwa sana,Anadharau humble beginnings za watu.
 
Umeandika as if kuwa/kuzaliwa familia masikini ni kosa

Haya maisha tu,mimi niliyezaliwa familia ya kitajiri/kimasikini sina haki ya kujudge maisha ya mwingine

Japo kila mtu ana uhuru wa kuspeak his/her mind ila sio busara kwa baadhi ya mambo
Kama wewe kweli ni joanah mwanamke na umekuwa disappointed na hance probably mwanaume, basi wanawake mna haki ya kuchagua sana wenza wenu.

Sasa boya kama huyu utaanzaje kumkubalia akuoe na utaanzaje kumtambulisha kwa watu eti ni mmeo?

Boya boya boya bwabwa bwabwa
 
Tukisema kuwa kila mmoja achambuliwe kiundanindani zaidi ndo ile tutagundua kuwa tulikubali kuzaliwa maskini lkn sio kufa maskini,point yangu ni kuwa kupambana kwako ndo maana unajiona huko hivyo but ni bora kushukuru kwa hatua ya huelewa uliopiga hadi kufikia kuweza kutofautisha maisha bora na Duni.In short umeidhalilisha hiyo familia sio EB!!!
 
Umeandika as if kuwa/kuzaliwa familia masikini ni kosa

Haya maisha tu,mimi niliyezaliwa familia ya kitajiri/kimasikini sina haki ya kujudge maisha ya mwingine

Japo kila mtu ana uhuru wa kuspeak his/her mind ila sio busara kwa baadhi ya mambo
I like u ..sikujua before kama una moyo safi pamoja na uzuri ulionao..keep it u
 
Hatuchagui tunazaliwa wapi wala tunatokea familia zipi, hata kama ni masikini, tatizo ni kufa masikini.
Safi sana mkuu kinachoangaliwa wakati huu sio wakati uliopita maana heri ya hata Ebitoke anayo picha ya under 5 years wengine kwenye maisha yao halisi kwenye mitandao ya kijamii wamerundika picha kuanzia umeri ambao wamejitambua. kuna watu wamekulia kwenye maisha ya kawaida tu na mazuri kiasi lakini wakikuonyesha picha za zamani unaweza ukam-judge amefulia
 
Back
Top Bottom