Ebitoke ni maskini sana jamani khaaa.

Ebitoke ni maskini sana jamani khaaa.

Ww ukapimwe akili umesahau familia yako huko mpaka unaogopa hata kwenda kijijini
 
Yaani we inaonekana ni wale wana ccm wasiojua hali halisi ya maisha ya mtanzania , kazi kusifia tu

Asilimia 80 ya watanzania ndio maisha yao hayo na ccm imekuwa ikiwatumia kwa kuwahonga halafu wakishawachagua hawana habari nao
 
Back
Top Bottom