Ebrahim Raisi, mchinjaji wa Tehran(The Butcher of Tehran) atakayekumbukwa kwa madhila mengi na makubwa

Yoda kwa makadirio au taarifa ni watu kiasi gani waliuawa na E.Raisi pale Tehran?
 
Wewe kama wewe unakubalije kuwa kisababishi cha ajali ni hali ya hewa kuwa mbaya ilhali kuna chopa zingine, zilipita na kutua pasipo matata?
Hata Serikali yake inaweza kuhusika Kwa kuwa huyo marehemu Raisi alikuwa anaucontest Uayatolla, Kwa kuwa aliyepo amezeeka na kiutaratibu wanafanya kumuandaa mwingine. Sasa huenda kiu ya Uayatolla na maono yake kuhusu future ya Wairan itakuwa hatarini Zaidi kiasi kwamba hata Ayatollah mkuu hajapendezwa pamoja na wajumbe wa mfumo wao. Ndio maana Iran haijaituhumu Israel, wadadisi tu ndio wanaihisia.
 
Yoda kwa makadirio au taarifa ni watu kiasi gani waliuawa na E.Raisi pale Tehran?
Yeye moja kwa moja inakadiriwa watu 8,000 wameuwawa chini ya mkono wake lakini akiwa mjumbe muhimi wa "death committees" inakadiriwa hadi watu 30,000 wamekufa chini yake ni hizo kamati za kifo.
 
Yeye moja kwa moja inakadiriwa watu 8,000 wameuwawa chini ya mkono wake lakini akiwa mjumbe muhimi wa "death committees" inakadiriwa hadi watu 30,000 wamekufa chini yake ni hizo kamati za kifo.
Gaza waliokufa ni 35,000 na 2/3 yao ni Watoto na Wanawake
Iraq na Afghanistan katika Vita ya America ni watu 500,000 +

Kwanini unadhani Ebrahim Rahisi (marhmu) ni Mtu mbaya sana! na ana damu nyingi sana mikononi mwake.
 
Si bora huyo ni watu 8000 tu tena wairani wenzake ,vipi akina Baden, Bush,na akina Netanyau ambao wameshababisha madhira kwa mamilioni ya watu kote duniani mbona hujawahi huwaanzishia uzi?
Usiwasahau ISIS NA HAMAS pia
 
Gaza waliokufa ni 35,000 na 2/3 yao ni Watoto na Wanawake
Iraq na Afghanistan katika Vita ya America ni watu 500,000 +

Kwanini unadhani Ebrahim Rahisi (marhmu) ni Mtu mbaya sana! na ana damu nyingi sana mikononi mwake.
Kwa sababu waliofia mikononi mwake hawakufia vitani, ni raia wanaokamatwa mitaani tu kwa mambo ya kisiasa na yanayoitwa ya kimaadili kisha wananyongwa au kupigwa risasi.
 
Tunasubiri kwa Habibu Anga na Buyobe watuletee za ndani
 
We jamaa Imhotep umekuwa mnoko siku hizi.....umesahau magaidi ya chama tawala
 
Duuh mbona scenario inataka kufanana na Nchi Fulani kule Afrika magharibi?
 
Siku zote Madikiteta Mwisho wao huwa mbaya sana.
 
Sasa kama unalijua hilo mbona unashinda humu ukishangilia Netanyau anavyo uwa watu tena watoto wachanga?
Hao madogo ni magaidi ya baadaye terror bred and future terrorists.

NO MERCY
 
1. Kwani kina Ben, Lijenje, Azory, Lissu, Mawazo, au wale wa kwenye viroba butcher alikuwa huyu huyu?

2. Au tuseme wewe hawa hawakuhusu kabisa na hata kumpigia ukelele butcher wao?

3. Si Kuwa uko busy kweli kweli kulia machozi ya mamba ndugu crocodile pembeni ya mto pale?

4. Mkuu sijawahi kukusikia kuwaongelea kina Lijenje. Au ni kuwa use value yao ilishakwisha?

5. Vipi familia zao, makamanda hata kwa bakuli huwa tunawakumbuka?

6. Siyo siri ndugu, mada yako ni ugoro mtupu ndugu lice!
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…