Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Hata Serikali yake inaweza kuhusika Kwa kuwa huyo marehemu Raisi alikuwa anaucontest Uayatolla, Kwa kuwa aliyepo amezeeka na kiutaratibu wanafanya kumuandaa mwingine. Sasa huenda kiu ya Uayatolla na maono yake kuhusu future ya Wairan itakuwa hatarini Zaidi kiasi kwamba hata Ayatollah mkuu hajapendezwa pamoja na wajumbe wa mfumo wao. Ndio maana Iran haijaituhumu Israel, wadadisi tu ndio wanaihisia.Wewe kama wewe unakubalije kuwa kisababishi cha ajali ni hali ya hewa kuwa mbaya ilhali kuna chopa zingine, zilipita na kutua pasipo matata?
Gaza waliokufa ni 35,000 na 2/3 yao ni Watoto na WanawakeYeye moja kwa moja inakadiriwa watu 8,000 wameuwawa chini ya mkono wake lakini akiwa mjumbe muhimi wa "death committees" inakadiriwa hadi watu 30,000 wamekufa chini yake ni hizo kamati za kifo.
Usiwasahau ISIS NA HAMAS piaSi bora huyo ni watu 8000 tu tena wairani wenzake ,vipi akina Baden, Bush,na akina Netanyau ambao wameshababisha madhira kwa mamilioni ya watu kote duniani mbona hujawahi huwaanzishia uzi?
Fafanua mtaalamKwani hujui Iran ndio nchi ambayo imebeba deni letu la nje kwa asilimia kubwa mpaka sasa ?
Au inajitoa ufahamu ?
Kwa sababu waliofia mikononi mwake hawakufia vitani, ni raia wanaokamatwa mitaani tu kwa mambo ya kisiasa na yanayoitwa ya kimaadili kisha wananyongwa au kupigwa risasi.Gaza waliokufa ni 35,000 na 2/3 yao ni Watoto na Wanawake
Iraq na Afghanistan katika Vita ya America ni watu 500,000 +
Kwanini unadhani Ebrahim Rahisi (marhmu) ni Mtu mbaya sana! na ana damu nyingi sana mikononi mwake.
Watu wa forensic waingie kazini angalau yapatikane majivu yakeNae yamempata hata mwili wake hawatauona.
Aliua sana waandamanaji huyu bwana
Duh watu mnafukua makaburi, me Kwa me au ??
Hakuna kulala huko, ni kazi kaziinasikitisha ila waliyataka wenyewe, hasa yule minster of foreign affair mwenye kiburi na jeuri. wakabidhiwe tu mabikira yao 72 huko waendelee, mtaji kiuno.
Hujui hata US wana equipment from Ruasia or China?Mkuu hivi ile helicopter ilitengenezwa wapi na nchi Gani?
Tunasubiri kwa Habibu Anga na Buyobe watuletee za ndaniHabari za awali za helicopter iliyoanguka ikiwa imembeba Rais wa Iran, Ebrahim Raisi maarafu kama "the butcher of Tehran"/mchinjaji wa Tehran huenda imepokewa kwa furaha kubwa na wahanga waliowahi kuguswa naye katika utumishi na uongozi wake mrefu ndani ya Iran.
Huyu bwana alianza kama mwendesha mashitaka na baadaye naibu mwanasheria mkuu katika wa serikali ya Iran, alikuwa mjumbe pia katika kamati za mauaji. Chini yake katika nafasi hizo mbalimbali akifanya kazi kwa ukaribu na mahakama ilishuhudiwa watu zaidi ya 8,000 wakinyongwa na maelfu wengine wakitupwa jela, kupotea au kupata adhabu za utesaji mkuu uliopitiliza kwa sababu za kisiasa na mambo mengine yanayoitwa ya kimaadili.
Wa-Iran wenye uraia wa nchi mbili hasa za magharibi walikumbana na mkono wake katili haswa, alibuni mpango wa kuwatumia kama chambo katika migogoro ya Iran na magharibi kwa kuwavizia na kuwakamata akiwasingiza uhaini kisha kuwatumia kama karata turufu kwenye majadiliano mbalimbali na West.
Huenda wahanga kutoka familia nyingi kwa maelfu ndani na nje ya Iran zilizoathiriwa naye wanaomba helicopter hiyo isipatikane kabisa na hawawezi kulaumiwa kwa hilo.
Ubinadamu kazi.
We jamaa Imhotep umekuwa mnoko siku hizi.....umesahau magaidi ya chama tawalaAtakumbukwa zaidi na Magaidi ya Kataib Hezbola ya Iraq atakumbukwa na Magaidi ya Hezbola atakumbukwa na Magaidi ya Hamas atakumbukwa na Magaidi yanayotutesa ya Houthi.
Atakumbukwa na Magaidi ya Boko Haram na Alshababu atakumbukwa na Magaidi ya Al Qaida.
Atakumbukwa na kufanyiwa Dua na Magaidi ya Uamsho huko Zanzibar.
Duuh mbona scenario inataka kufanana na Nchi Fulani kule Afrika magharibi?Huyu bwana alianza kama mwendesha mashitaka na baadaye naibu mwanasheria mkuu katika wa serikali ya Iran, alikuwa mjumbe pia katika kamati za mauaji. Chini yake katika nafasi hizo mbalimbali akifanya kazi kwa ukaribu na mahakama ilishuhudiwa watu zaidi ya 8,000 wakinyongwa na maelfu wengine wakitupwa jela, kupotea au kupata adhabu za utesaji mkuu uliopitiliza kwa sababu za kisiasa na mambo mengine yanayoitwa ya kimaadili.
Siku zote Madikiteta Mwisho wao huwa mbaya sana.Habari za awali za helicopter iliyoanguka ikiwa imembeba Rais wa Iran, Ebrahim Raisi maarafu kama "the butcher of Tehran"/mchinjaji wa Tehran huenda imepokewa kwa furaha kubwa na wahanga waliowahi kuguswa naye katika utumishi na uongozi wake mrefu ndani ya Iran.
Huyu bwana alianza kama mwendesha mashitaka na baadaye naibu mwanasheria mkuu katika wa serikali ya Iran, alikuwa mjumbe pia katika kamati za mauaji. Chini yake katika nafasi hizo mbalimbali akifanya kazi kwa ukaribu na mahakama ilishuhudiwa watu zaidi ya 8,000 wakinyongwa na maelfu wengine wakitupwa jela, kupotea au kupata adhabu za utesaji mkuu uliopitiliza kwa sababu za kisiasa na mambo mengine yanayoitwa ya kimaadili.
Wa-Iran wenye uraia wa nchi mbili hasa za magharibi walikumbana na mkono wake katili haswa, alibuni mpango wa kuwatumia kama chambo katika migogoro ya Iran na magharibi kwa kuwavizia na kuwakamata akiwasingiza uhaini kisha kuwatumia kama karata turufu kwenye majadiliano mbalimbali na West.
Huenda wahanga kutoka familia nyingi kwa maelfu ndani na nje ya Iran zilizoathiriwa naye wanaomba helicopter hiyo isipatikane kabisa na hawawezi kulaumiwa kwa hilo.
Ubinadamu kazi.
Alitukopesha huku kwake wananchi wanakufa kwa njaa?Atakumbukwa kwa mengi ikiwemo kuikopesha Serikali ya Tanzania mikopo isiyo na riba
Hao madogo ni magaidi ya baadaye terror bred and future terrorists.Sasa kama unalijua hilo mbona unashinda humu ukishangilia Netanyau anavyo uwa watu tena watoto wachanga?
Tishekedi na Marehemu Mzee Ayatula huwa siwapendi tu.We jamaa Imhotep umekuwa mnoko siku hizi.....umesahau magaidi ya chama tawala
Habari za awali za helicopter iliyoanguka ikiwa imembeba Rais wa Iran, Ebrahim Raisi maarafu kama "the butcher of Tehran"/mchinjaji wa Tehran huenda imepokewa kwa furaha kubwa na wahanga waliowahi kuguswa naye katika utumishi na uongozi wake mrefu ndani ya Iran.