Andiko hili umelitoa wapi mkuu @ No retreat no surrenderNani mwenye dhambi? Deals nyingi zenye hela ni za watu wanaoonekana wana dhambi walevi na wazinzi
Huu mstari sijawahi upata embu weka ni kitabu gani mkuuNani mwenye dhambi? Deals nyingi zenye hela ni za watu wanaoonekana wana dhambi walevi na wazinzi
maandiko yanasemaje kuhusu Corona?Naomba andiko kutoka kwenye bible or quruan unalolipenda na kulikumbuka mda wote
me naanza na
Mithali 1:10
Mwanangu wenye dhambi wakikushawishi wewe usikubali
Naomba andiko kutoka kwenye bible or quruan unalolipenda na kulikumbuka mda wote
me naanza na
Mithali 1:10
Mwanangu wenye dhambi wakikushawishi wewe usikubali
utaweka mkono juu ya wagonjwa nao watapata Afyamaandiko yanasemaje kuhusu Corona?
talk about anything but follow the rules/ alafu hili sio suala la dini
Sawa mwamposatalk about anything but follow the rules/ alafu hili sio suala la dini
🙏🙏🙏