Ebu niambie unapoona hii kitu unamkumbuka nani katika mahusiano

Aisee mi nakumbuka huyo kaka alikuwaga time-keeper alikuwaga ananifukuzia mi kipindi hicho nlikuwa la tano ye la saba. Nilikuwa nampenda ila nlikuwa naogopa kumkubalia.Bas hiyo kengere ilikuwa karibu na darasa letu kila akienda kugonga kengele ya mapumziko lazima nimchungulie daaah... Alipomaliza alienda kusoma boarding akawa kila akirudi likizo haachi kunifukuzia.....badae nlimkubalia tukawa tunaandikiana barua ila kumsogelea hivi nlikuwa naogopa kama nini. Siku hizi nasikia ni dereva wa halmashauri fulani ktk wilaya fulani hivi.....

akikuona anaweza asiamini macho yake
 
Aisee! Nibaki nacheka mwenyewe, maana domo zege wakati huo lilintesa sana, nilikuwa nipo moto sana na huyo dada, ila kutongoza ikawa shida, nilikuwa nkikutana nae tu nahisi roho inataka kuchomoka!

gollo acha bwana inamaana hata barua haukutumia kabisa maana cunajua tena
 
wakati nasoma pale ubungo kisiwani kulikuwa na mtoto wa mwalimu (Iluminatha) nilikuwa nampenda sana mpaka namuogopa yaan. Lakini siku isiyo kuwa na jina akanitumia kimemo cha kuomba uhusiano. Nilimpenda zaidi na zaidi mpaka watu wengine wakaanza kujua. Siunajua enzi zile kuna tamthilia ya CAMIRA,THE PROMISE NA TIMELESS?. Basi mtoto ananiletea mapenzi ya kitamthiliatamthilia yani. Asa kuna rafiki yake mmoja (Mkuve) alikuwa anaona wivu akanipakazia nnatembe na dogo mmoja (Canisia) ambaye aziivi na Iluminatha. Je, unataka kujua nini kilitokea?
 
Aaah hivi ule upendo niliutoa wapi? maana nilikua la Sita tu, kila saa kumi na moja alfajiri naanza kumuwaza, nikifika darasani hata sisemi, lakini la Saba ilibidi nivuke mipaka mpaka shule ya msingi ya jirani ambako kulikua na mtoto mkali sana, nilipata ajali mara mbili ya baiskeli, nilikamatwa na mamaake mara moja na kupokea adhabu nzito tu, na kufanya matusi hatukufanya though wachambuzi wa mambo wanasema mtoto nae alikua ananielewa, nilikua kila nikienda kumsaka nikirudi nasikiliza nyimbo ya Joe Thomas I wanna know, mweee...

This is my Confession...nilikupenda sana MJ, it is over now...
 
hahhahaaaa mii jamani walikuwa wengiii na kuna m1 hivi jmn sijamuona muda kweeli na naxkia yupo mwanza na nilikuwaga namuona anakibanda chake pale kwa Mollel sasa mi nikitoka xkul hapo nipo sec maana hakupataga nafax ya kuingia Government na mi pia but mi nilipelekwa private na mama angu alikuwa mwl na drs letu ni la 1997 kaloleni primary. Ar hiyo.... basi nikawa nataniwajee kitu kidogo naambiwa mchumba wa flani bax najixkia vbayaa maana naona watu wanaona nafanya tabia mbaya... Dah enzi zile rahaa jmn... nikikumbuka. Ila uwezi amini mpk leo sijawahi piga naye story yoyote na ile hali ilinijengea chuki kwakee maana kama alinipenda akuniambia mie aliwaambia wenzie sasa ile kuzodolewa mchumba wa fulaniiii mi ilinipa kuchukia maana inakuwa kama matangazo ya kudhalilishwa... but siku Shabani P.... tukikutana embu tusalimiane angalaueee ila sio tabia mbaya zako tena...
 
milima haikutani ila binadamu wanakutana hauwezijua bhana cku ukikutana naye itakuwaje
 
Ukiwa mtoto tabia mbaya vp ukiwa mkubwa ni tabia nzuri eti
 
Back
Top Bottom