Ebu niambie unapoona hii kitu unamkumbuka nani katika mahusiano

Ebu niambie unapoona hii kitu unamkumbuka nani katika mahusiano

Hapo nakumbuka mihogo na ice cream tu hakuna cha zaidi
 
daaah walikua wananigombea handsomeboy lao balaa ,shule mzima nikitoka na demu huyu wanamjua ,nilikua nao kama watano hivi ....aisee sumaku ilianza zamani
 
Enzi hizo nilikua chimbo nikiingia darasani wanafunzi wananishangaa huku wana ambiana leo kuna mgeni kahamia shuleni kwetu
 
daaah walikua wananigombea handsomeboy lao balaa ,shule mzima nikitoka na demu huyu wanamjua ,nilikua nao kama watano hivi ....aisee sumaku ilianza zamani

mmmh! handsome boy wa shule gani?
 
Mi nakumbuka sambusa za mchele....ila baadae tulivyokuja kumuona muuzaji wa hizo sambusa akimnawisha haja kubwa mwanawe na kisha kuja kutufungia sambusa bila kunawa mikono, ndo ilikuwa mwanzo na mwisho wa kununua sambusa zake ingawa nilikuwa nazimezea mate.

Pili ni askirimu za mama Eliza, yule mama sijui alikuwa anaweka nini kwenye askirimu zake, Mwisho tulizibatiza jina la askirimu za nyama....hahahaaa

Pia kuna jamaa tulikuwa tunaishi nae mtaa mmoja, nyumba ya tatu toka home na tulikuwa darasa moja. Siku hiyo nilikuwa nimeishiwa sina hata shilingi mfukoni nikamuomba anitoe japo shilingi 50 au 100 (ni nyingi kwa kipindi hicho)...jamaa akajidai hana...baada ya mda kidogo akatokea dada mmoja hivi akamuomba jamaa sh. 50...jamaa likatoa 200 na kumwambia yule dada achukue yote, jamaa lilinikera sana.

Kuna kisa kingine ila naomba nikiache lakini kilinisadia sana kufika hapa nilipo sasa na kubadilisha muelekeo wa maisha yangu na kimasomo kiujumla

mm kwa upande wa maankuri nakumbuka vshet
 
Mimi umenikumbusha primary niko std4 nikawa na intimacy na dogo mmoja anaitwa Jarry... ila hatukuwa wapenz ni mie tuu nilimdondokea. darasa tano nikamdondokea mtoto wa Mark Mwandosya alikuwa anaitwa Emanuel ila alihama mwaka huohuo tukiwa darasa la 5,hope alienda nje au international school. Huyu alikuwa rafiki na Nkundwe nae nilimdondokea tukiwa std 7. Tuition ya std 7 kuna kijana anaitwa Rich, tulikuwa tuition ya Mwl. Gabone na Mwl. Wilfred. Huyu Rich nilimpenda hadi akajua ila sikuwahi mwambia alinisoma tuu usoni, kuna siku tulitembea wote na Rich toka shule hadi kinondoni ila hata hatukuongeleshana. Ivo
Wote hawa hakuna hayta tuliyewahi kuwa wapenzi. IVO
 
Tuache utane yale ndo yalikuwa mapenzi ya kweli aisee
 
Mi nikisema mnaweza msiamini ila story yake nilishaiwekaga MMU

cc: Khantwe
 
Last edited by a moderator:
Back
Top Bottom