Ebu niambie unapoona hii kitu unamkumbuka nani katika mahusiano

Mmmhhh
Mi sijawahi mpenda mtu shule mpaka namaliza bt kitaan kuna kaka nilikuwa nampenda na yy ananipenda kuniambia anaigopa utoto jamani! walipokuja kuhama basi sikumuona tena!
Adolf cjui yupo wapi. ..
 
Dada mmoja hivi, kwa jina XXXX, Songea hiyo, miaka ya mwishoni ya 90s.
 
Eti ooooooh! mimi nilisoma mpaka mahusiano nikawa nayaogopa.Wewe ulisoma kweli au unatania na kama ulisoma kweli niambie unaijua hii?

au unataka kuniambi wewe ni msomi ambaye uliikwepa hii

mmhh primary mi hata nlikua siyajui mahusiano. hata olevo mi nlikua niponipo tu...sema umenikumbusha mdada mmoja alikua anaitwa Eva kizima pindi tupo lasaba alisababisha nipewe saspesheni mwezi mmoja..tulikutwa ananifundisha ule mchezo wa kukalukuleti herufi then unapata huyo mtu yupo kwenye kundi gani ...tukampigia mwalimu Mkuu akaangukia kwenye KICHAA ...mbaya zaidi akatukuta bwana saspaa mwezi mzima ..
 
mmmmh! nyie wasongolisti ndo wenyewe kwenye michezo ile au ndo unata kuna mbia NANI ATAMFUNGA PAKA KENGELE?

Mmmhhh
Mi sijawahi mpenda mtu shule mpaka namaliza bt kitaan kuna kaka nilikuwa nampenda na yy ananipenda kuniambia anaigopa utoto jamani! walipokuja kuhama basi sikumuona tena!
Adolf cjui yupo wapi. ..

ya kweli hayo mkuu?
 
Attachments

  • kengelee.JPG
    39.6 KB · Views: 482
Hahahhahahaha sitaki hata kukumbuka. Ila jamani enzi zile japo tulikuwa hatufanyi mchezo mbaya, tulikuwa tunapendana ile kwa dhati, baby akichapwa fimbo nafumba macho nisione kabisa, naumiaje hahah. daah nimemiss mno kuandikiwa barua jamani lol

acha bwana wee ulikuwa unafumba macho vipi masikio ulikuwa hausikii TWAAAAA! 😛ound:
 
Hahahhahahaha sitaki hata kukumbuka. Ila jamani enzi zile japo tulikuwa hatufanyi mchezo mbaya, tulikuwa tunapendana ile kwa dhati, baby akichapwa fimbo nafumba macho nisione kabisa, naumiaje hahah. daah nimemiss mno kuandikiwa barua jamani lol

zamani kupenda ilikua raha sana Leo hii kupenda karaha
 
Hakika mkuu, yani zamani Mtu unapenda haswa. Baby akiumia, unahisi na wewe Kama umeumia vile hahahahahaha. Mapenzi ya utotoni yalikuwa na strong bond mnoo. Sasa hivi hadi umpate tu Mtu Mkawa tu na mutual feelings, inabidi umshukuru sana Mungu.
 
Hahahhahahaha sitaki hata kukumbuka. Ila jamani enzi zile japo tulikuwa hatufanyi mchezo mbaya, tulikuwa tunapendana ile kwa dhati, baby akichapwa fimbo nafumba macho nisione kabisa, naumiaje hahah. daah nimemiss mno kuandikiwa barua jamani lol

Hahahaa umeona eeh hadi rahaa
 
Hakika mkuu, yani zamani Mtu unapenda haswa. Baby akiumia, unahisi na wewe Kama umeumia vile hahahahahaha. Mapenzi ya utotoni yalikuwa na strong bond mnoo. Sasa hivi hadi umpate tu Mtu Mkawa tu na mutual feelings, inabidi umshukuru sana Mungu.

kwanza utampatia wapi? maana siku hizi wasichana pesa mbele na wavulana mchezo kwanza akisha kuchezea hauna thamani. Na msichana pesa ikikata ndo basi tena
 
Mhhh, muda wa kwenda kula ugali umewadia.
 
kwanza utampatia wapi? maana siku hizi wasichana pesa mbele na wavulana mchezo kwanza akisha kuchezea hauna thamani. Na msichana pesa ikikata ndo basi tena
There are still some faithful and loyal partners outta there, though vey vey few. Hadi umuone na umpate ndo tatizo linapokuja, coz hatuwezi kuwatambua kwa macho. Tuzidi tu kumuomba Mungu, atufunulie watu hao, na sisi pia tuwe Kama hao watu tunaowish Kuwa nao
 
uko sawa kabisa aiseee maana wengi kwa macho ni wezi tu
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…