Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Ni kwa sababu sekta zinazoongoza kwenye ukuaji wa shughuli hizo za kiuchumi hazihusishi Wananchi wengi.Ukiangalia figure za hali ya uchumi za 2023 utaona kuwa sekta zinazoongoza kwenye uchumi ni agricultural by 26%,Madini,ujenzi,Viwanda,usafirishaji na Biashara.Ahsante kwa nini index za GDP ya Tanzania inapa kila mwaka lakini hali ya uchumi wa wanachi unaendelea kozorota kila mwaka.
Suali la pili kwanini shilling ya Tanzania inaendelea kushuka thamani wakati uchumi wetu unaendelea vizuri?
Kazi ya kwanza ni kununua dola na kujaza benki mambo mengine ni baadae, ninajua dola ni kila kitu.Uzalishaji (production) ndo huwa inaleta mzunguko wa hela kuwa mdogo au mkubwa.
Hivyo ukichapisha hela ukawapa watu maana yake bidhaa zitanunuliwa Sana na uzalishaji utakuwa mdogo
Maana yake utakuwa na hela Ila hauna uwezo wa kupata HUDUMA za msingi .
Ili hela iwe katika mzunguko lazima tuongeze uzalishaji na tuweze Ku-export bidhaa Nje .
Tofauti na hapo utaua uchumi.
Leo angalau umeongea point ya maana.Nikajua umeweka mada ya kufanya tukutane Kwa Uchambuzi wa kina ,kumbe ni Mipasho as usual 😆😆
Anyway ,kama Uchumi wa Tanzania 2023 umeongezeka kutoka $69(2021) Hadi $ 80bln (2023) ni wazi kama zile Trilioni 24 zilizomwagwa kwenye sgr, na ndege tuu zingetumika kwenye Barabara,Umeme,Maji,Maboresho ya reli na Kilimo tungekuwa Tunazungumzia Tanzania yenye Uchumi wa $ 110bln (2025).
Ukifeli kupanga umefeli mazima.
Ahsante kwa nini index za GDP ya Tanzania inapa kila mwaka lakini hali ya uchumi wa wanachi unaendelea kozorota kila mwaka.
Suali la pili kwanini shilling ya Tanzania inaendelea kushuka thamani wakati uchumi wetu unaendelea vizuri?
Trickle down effect,ni sera za kiuchumi zinazo favour zaidi watu au biashara za daraja la juu kwenda chini.Kama zilivyo sera za Repblican kwa USA e.g unapunguza income tax kwa matajiri,corporate tax kwenye makampuni lengo ni ku facilitate investment ambayo tuna assume itafika mpaka kwa mwananchi wa Kawaida.Nimesikiliza Interview moja ya John Heche
Aliulizwa serikali inaweza vipi kupunguza tatizo la unemployment
Kiufupi alijibu kuwa serikali inatakiwa itumie "trickle down effect" unaweza kuielezea hii mkuu ikoje? na inahusiana vipi kwenye suala la kupunguza unemployment problem unadhani
Kuna tafauti kati ya nominal gdp na real gdpAhsante kwa nini index za GDP ya Tanzania inapa kila mwaka lakini hali ya uchumi wa wanachi unaendelea kozorota kila mwaka.
Suali la pili kwanini shilling ya Tanzania inaendelea kushuka thamani wakati uchumi wetu unaendelea vizuri?
Nimeona Mheshimiwa John Heche akitoa hii suggestion kuwa Serikali inatakiwa itumie "Trickle down effects" ili kupunguza tatizo la ajira kumbe hii sera inatumika Tanzania kitambo sanaTrickle down effect,ni sera za kiuchumi zinazo favour zaidi watu au biashara za daraja la juu kwenda chini.Kama zilivyo sera za Repblican kwa USA e.g unapunguza income tax kwa matajiri,corporate tax kwenye makampuni lengo ni ku facilitate investment ambayo tuna assume itafika mpaka kwa mwananchi wa Kawaida.
Hii sera ni mbaya kwa Nchi kama Tanzania,inafanyika sana na haijawahi kuzaa matunda.Makampuni na Wafanyabiashara lukuki hawalipi kabisa kodi mbona hatujaona effect ya hii theory?
Dolla utainunua kwa currency ipi mkuu? na kwa nani?Kazi ya kwanza ni kununua dola na kujaza benki mambo mengine ni baadae, ninajua dola ni kila kitu.
Hizi bad debts ndo zikoje na good debts zikoje?Tuzunggumzie madeni
Madeni yapo ya aina mbili
1)bad debts
2)good debts
Nb kwanza tukubaliane kuwa kukopa sio jambo baya ila jambo nikutojua matumizi sahihi ya kile unachokopa
Mimi ntatoa ushauri kubusu madeni
Kukopa pesa au kitaalamu huitwa OPM -other people money
Kutumia hela za watu
Je njia gani nzuri za kukopa na unbidi ukope kwa lengo gani haya ndo mambo
Pale udsm Kuna course zinaitwa Masters of Applied Economics na Masters of Economics. Hivi hizi kozi zina utofauti Gani?Habari zenu Wakuu
Jamhuri ya Muungano wa Tanzania kazi iendelee
Lengo la uzi huu ni kwa wale wataalamu wa Uchumi tukutane hapa na kupeana madini mbalimbali,pia kwa wale wenye maswali ya kiuchumi waweze kupatiwa ufumbuzi
Pia uzi huu unaweza kutumika kama Connection endapo kutatokea michongo ya wachumi kuhitajika sehemu fulani
Kwahiyo basi niwakaribishe wachumi wote either kwa maswali au kama kuna elimu yoyote ya kiuchumi unataka kuiwasilisha katika jamii yako ni vyema pia
Karibuni sana
It's me Foffana
Yeah umuhimu upo tena mkubwa sanaAsante sana kwa uzi mzuri kwetu sisi wana uchumu kwa kupitia uzi huu acha tunyimwaye mwaye na sisi ,, maana kule kwenye jukwaa la watu kula kimasihara wengi kuchangia hata kuingia tu kwenye ule uzi huwa tunaona soo...
Back on topic ,, napenda nijibiwe hili swali langu...
Ulimwengu kwa ujumla umekuwa ukibadilika chap chap ,,, na kupelekea kutokea kwa jamii isiyoitaji matumiza ya note and coins(cashless society ) katika kutimiza mahitaji yao ya kila siku lakini pia jamii inayoitaji usiri zaidi na kutokuingiliwa hasa katika kufanya miamala ya kupokea au kutuma pesa na taasisi za kifedha kama vile Central banks au commercial banks (benki za kibiashara ),,, ulimwenguu huu mpya umekuwa ukisisitiza zaidi matumizi ya aina hii ya pesa
mfano
bit coin ,, Akon coin ( A coin ) the like zimetamadadi na kuoneka kama mfumo au aina mpya ya pesa katika ulimwengu huu wa kisasa,,,
sasa je kuna umuhimu wowote wa kuendelea kuwa na taasisi kama central bank au kwa tanzania tuseme B.O.T ( benki kuu ya Tanzania ) ambazo zimekuwa kama wasimamizi wakuu wa mambo yote ya kifedha katika jamii hii mpya inayoitaji matumizi ya notes and coins ???...