Economists gather here

Economists gather here

Ahsante kwa nini index za GDP ya Tanzania inapa kila mwaka lakini hali ya uchumi wa wanachi unaendelea kozorota kila mwaka.

Suali la pili kwanini shilling ya Tanzania inaendelea kushuka thamani wakati uchumi wetu unaendelea vizuri?
Ni kwa sababu sekta zinazoongoza kwenye ukuaji wa shughuli hizo za kiuchumi hazihusishi Wananchi wengi.Ukiangalia figure za hali ya uchumi za 2023 utaona kuwa sekta zinazoongoza kwenye uchumi ni agricultural by 26%,Madini,ujenzi,Viwanda,usafirishaji na Biashara.
Angalia katika watanzania 61M 80% ya Watanzania hao wanajushughulisha kwwnye Kilimo ambacho kinachangia only 26% na ukuaji wake ni 3-4%.
 
Uzalishaji (production) ndo huwa inaleta mzunguko wa hela kuwa mdogo au mkubwa.

Hivyo ukichapisha hela ukawapa watu maana yake bidhaa zitanunuliwa Sana na uzalishaji utakuwa mdogo

Maana yake utakuwa na hela Ila hauna uwezo wa kupata HUDUMA za msingi .

Ili hela iwe katika mzunguko lazima tuongeze uzalishaji na tuweze Ku-export bidhaa Nje .

Tofauti na hapo utaua uchumi.
Kazi ya kwanza ni kununua dola na kujaza benki mambo mengine ni baadae, ninajua dola ni kila kitu.
 
Nikajua umeweka mada ya kufanya tukutane Kwa Uchambuzi wa kina ,kumbe ni Mipasho as usual 😆😆

Anyway ,kama Uchumi wa Tanzania 2023 umeongezeka kutoka $69(2021) Hadi $ 80bln (2023) ni wazi kama zile Trilioni 24 zilizomwagwa kwenye sgr, na ndege tuu zingetumika kwenye Barabara,Umeme,Maji,Maboresho ya reli na Kilimo tungekuwa Tunazungumzia Tanzania yenye Uchumi wa $ 110bln (2025).

Ukifeli kupanga umefeli mazima.
Leo angalau umeongea point ya maana.
 
Ahsante kwa nini index za GDP ya Tanzania inapa kila mwaka lakini hali ya uchumi wa wanachi unaendelea kozorota kila mwaka.

Suali la pili kwanini shilling ya Tanzania inaendelea kushuka thamani wakati uchumi wetu unaendelea vizuri?
Nimesikiliza Interview moja ya John Heche
Aliulizwa serikali inaweza vipi kupunguza tatizo la unemployment
Kiufupi alijibu kuwa serikali inatakiwa itumie "trickle down effect" unaweza kuielezea hii mkuu ikoje? na inahusiana vipi kwenye suala la kupunguza unemployment problem unadhani
Trickle down effect,ni sera za kiuchumi zinazo favour zaidi watu au biashara za daraja la juu kwenda chini.Kama zilivyo sera za Repblican kwa USA e.g unapunguza income tax kwa matajiri,corporate tax kwenye makampuni lengo ni ku facilitate investment ambayo tuna assume itafika mpaka kwa mwananchi wa Kawaida.

Hii sera ni mbaya kwa Nchi kama Tanzania,inafanyika sana na haijawahi kuzaa matunda.Makampuni na Wafanyabiashara lukuki hawalipi kabisa kodi mbona hatujaona effect ya hii theory?
 
Ahsante kwa nini index za GDP ya Tanzania inapa kila mwaka lakini hali ya uchumi wa wanachi unaendelea kozorota kila mwaka.

Suali la pili kwanini shilling ya Tanzania inaendelea kushuka thamani wakati uchumi wetu unaendelea vizuri?
Kuna tafauti kati ya nominal gdp na real gdp

Thamani ya hela yetu inategemea vitu kama exports zetu, demand ya TSHS, interest rate zetu, nakadhalika.
 
Trickle down effect,ni sera za kiuchumi zinazo favour zaidi watu au biashara za daraja la juu kwenda chini.Kama zilivyo sera za Repblican kwa USA e.g unapunguza income tax kwa matajiri,corporate tax kwenye makampuni lengo ni ku facilitate investment ambayo tuna assume itafika mpaka kwa mwananchi wa Kawaida.

Hii sera ni mbaya kwa Nchi kama Tanzania,inafanyika sana na haijawahi kuzaa matunda.Makampuni na Wafanyabiashara lukuki hawalipi kabisa kodi mbona hatujaona effect ya hii theory?
Nimeona Mheshimiwa John Heche akitoa hii suggestion kuwa Serikali inatakiwa itumie "Trickle down effects" ili kupunguza tatizo la ajira kumbe hii sera inatumika Tanzania kitambo sana
Ahsante Econometrician
 
Tuzunggumzie madeni

Madeni yapo ya aina mbili

1)bad debts
2)good debts

Nb kwanza tukubaliane kuwa kukopa sio jambo baya ila jambo nikutojua matumizi sahihi ya kile unachokopa

Mimi ntatoa ushauri kubusu madeni

Kukopa pesa au kitaalamu huitwa OPM -other people money

Kutumia hela za watu

Je njia gani nzuri za kukopa na unbidi ukope kwa lengo gani haya ndo mambo
Hizi bad debts ndo zikoje na good debts zikoje?
 
Habari zenu Wakuu
Jamhuri ya Muungano wa Tanzania kazi iendelee

Lengo la uzi huu ni kwa wale wataalamu wa Uchumi tukutane hapa na kupeana madini mbalimbali,pia kwa wale wenye maswali ya kiuchumi waweze kupatiwa ufumbuzi

Pia uzi huu unaweza kutumika kama Connection endapo kutatokea michongo ya wachumi kuhitajika sehemu fulani

Kwahiyo basi niwakaribishe wachumi wote either kwa maswali au kama kuna elimu yoyote ya kiuchumi unataka kuiwasilisha katika jamii yako ni vyema pia

Karibuni sana
It's me Foffana
Pale udsm Kuna course zinaitwa Masters of Applied Economics na Masters of Economics. Hivi hizi kozi zina utofauti Gani?
 
Asante sana kwa uzi mzuri kwetu sisi wana uchumu kwa kupitia uzi huu acha tunyimwaye mwaye na sisi ,, maana kule kwenye jukwaa la watu kula kimasihara wengi kuchangia hata kuingia tu kwenye ule uzi huwa tunaona soo...

Back on topic ,, napenda nijibiwe hili swali langu...

Ulimwengu kwa ujumla umekuwa ukibadilika chap chap ,,, na kupelekea kutokea kwa jamii isiyoitaji matumiza ya note and coins(cashless society ) katika kutimiza mahitaji yao ya kila siku lakini pia jamii inayoitaji usiri zaidi na kutokuingiliwa hasa katika kufanya miamala ya kupokea au kutuma pesa na taasisi za kifedha kama vile Central banks au commercial banks (benki za kibiashara ),,, ulimwenguu huu mpya umekuwa ukisisitiza zaidi matumizi ya aina hii ya pesa

mfano
bit coin ,, Akon coin ( A coin ) the like zimetamadadi na kuoneka kama mfumo au aina mpya ya pesa katika ulimwengu huu wa kisasa,,,

sasa je kuna umuhimu wowote wa kuendelea kuwa na taasisi kama central bank au kwa tanzania tuseme B.O.T ( benki kuu ya Tanzania ) ambazo zimekuwa kama wasimamizi wakuu wa mambo yote ya kifedha katika jamii hii mpya inayoitaji matumizi ya notes and coins ???...
 
Yeah umuhimu upo tena mkubwa sana
 
Back
Top Bottom