central midfielder
Senior Member
- Apr 14, 2023
- 146
- 215
Nipo hapa kanyeye kwa Zero nasikiliza nyimbo za Muinamila...π
hii kitu popote nikiisikia, naamka/nasimama kiuno na nyonga vinaanza kupishana kwa mwendo wa zig zag.....
Ardhi itatambua kuna mnyamwezi anayarudi madogoli...π π π
Basi tuu, Raha ndani ya rohooo...π.
Kwatuuu....π.
Kasie matataπ₯π₯π₯π

Nimeambiwa Sensema malunde leo wamepika makopa na matobolwa...π€£Ongezea na za Kalubandika....π π π
Huku unashushia michembe wakati unasubiri nswalu na nsansa.
Ngoja ni m dedicate mtu ππ€