Eddo Kumwembe: Fei Toto alivyotua CAS kwa kasi isiyohitajika

Unaelewa unachoandika? Edo amejaribu tu kukuelezeni kitakachotokea CAS ,Kama walicyowaeleza kitachotokea TFF, shida nini
1.Anayepoteza ni fei kwani yupo out of pitch for long t
2. Kəsi zote kashindwa mara 3 na Yanga na TFF am aye ndiye mwenye ball
3. Lengo la Yanga ni kummaliA kifootball kwani , muda inaenda bila yeye kucheza na kuwa fit ,inshort hata bei ya fei Kwa Sasa imedrop sana compared to last before scandal.
4. Yanga wanafanikiwa Kwani Kila wanavyotaka kinakuwa karibua müzik 6 Saşa na mshahara wanalipa yükü achezi baada ya mwaka Mmoja ,utamuona Huyo fei Wako
5.Hili ni onyo Kwa wasio na akili na wasiofikiri Kama fei
Adios
Yeye amekuwa jaji wa CAS? Hivi unaikumbuka kesi ya Morison watu walivyokuwa wanaitolea majibu kabla maamuzi hayajatoka? Ngoja nikukumbushe baada ya maamuzi ya kamati ya TFF , Mgongolwa ambaye alikuwa wakili wa yanga na GSM alijinasibu kuwa yanga wapeleke kesi CAS na watashinda lakini matokeo yake walishindwa. Wachambuzi waache ujuaji sio kila kitu wanaweza kukichambua kama wakili Mgongolwa mwenye taaluma yake aliwahakikishia yanga watashinda kesi ya Morison lakini wakaangukia pua yeye ambaye hana hata taaluma ya uwakili anajuaje Feitoto akienda CAS atapotea.
 
Doh kuna maana gani sasa ya kusoma huko UDSM tena Bachelor kama unalipwa mshahara sawa na waliosoma Certificates Zoom College?
[emoji2][emoji2][emoji2][emoji2][emoji1][emoji1][emoji1][emoji1][emoji1]
 
Mpaka sasa YANGA ni washindi ,yaani mpaka kufika final ni ushindi TOSHA mkuu.
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23] sizitaki mbichi hizi.
Ko nyie shda yenu ilikua kufika final tyuuh?
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23] kweli mmepoteanaaa
 
Doh kuna maana gani sasa ya kusoma huko UDSM tena Bachelor kama unalipwa mshahara sawa na waliosoma Certificates Zoom College?
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
 
Kuna watu wakisikia Feitoto anapenda CAS wanaanza kujambajamba lakini wamesahau ni haki yake kama hajaridhika na maamuzi halafu haohao utasikia tunataka katiba mpya wakati haki zao ndogo wanashindwa kudai.
Uamuzi wa Nini anataka Feitoto anao mwenyewe Wala sio sisi na hakuna mkataba usiovunjwa.
Hakuna mkataba usiovunja lakini kumbuka hakuna mkataba usio na wajibu ni sawa tu na vile hakuna haki pasi na wajibu.
 
Yeye amekuwa jaji wa CAS? Hivi unaikumbuka kesi ya Morison watu walivyokuwa wanaitolea majibu kabla maamuzi hayajatoka? Ngoja nikukumbushe baada ya maamuzi ya kamati ya TFF , Mgongolwa ambaye alikuwa wakili wa yanga na GSM alijinasibu kuwa yanga wapeleke kesi CAS na watashinda lakini matokeo yake walishindwa. Wachambuzi waache ujuaji sio kila kitu wanaweza kukichambua kama wakili Mgongolwa mwenye taaluma yake aliwahakikishia yanga watashinda kesi ya Morison lakini wakaangukia pua yeye ambaye hana hata taaluma ya uwakili anajuaje Feitoto akienda CAS atapotea.
Nafikiri hukutuliza akili ukamsoma vizuri, Fei hata akishinda, ni vema akaangalia time factor kwani Yanga wataendelea maisha ili hali Fei hachezi mpira ukizingatia kuwa hizi case za CAS zinachelewa kuisha.
 
Wewe ndio hujatuliza akili, Feitoto siyo mtoto wako na hata angekuwa mtoto wako ni mtu mzima ambaye anaweza kuamua mambo yake kama atapata faida au hasara ni yeye na watu wanaomzunguka ndio watawajibika
 
Shida ni nini hasa? mwacheni aende CAS haki yake ataipata tu
 
Yaani mi na bachelor yangu ya Udsm mshahara haufiki 1 million nimchangie muhitimu wa jang'ombe Primary school anayelipwa 4 million.. UDSM ntakua nilisomea us*nge
😅😅🤣🤣🤣🤣🤣🤣. Umetisha mkuuu 🙌🙌🙌🙌🙌🙌🙌
 
Katika vitu sielewi ni hii Kauli ya Kwamba Yanga wamemuita Fei kuvunja mkataba akakataa.

Jitihada za kuvunja mkataba na hao wanaosema wanamuita zilifanyika ila hazikuzaa matunda, Fei aliomba mazungumzo ya kuvunja mkataba ila hawakuwa tayari ndomana washauri wake wakamshauri afanye alivyofanya.

Yanga wanachokifanya ni unafiki wa kujisafisha, Kwann walikataa mazungumzo kabla haya mambo hayajasambaa??

Wengi hili jambo tumelidaka kwanzia liliposikika ila hatutaki kabisa kufatilia ninini kilikuwa kinaendelea hadi tukafika hapo, hatutaki kabisa kujua jitihada za Fei kutaka mazungumzo na viongozi wa Yanga kuvunja mkataba ila walikataa.
 
Tuonyeshe hizo barua za jitihada
 
Back
Top Bottom