Eddo Kumwembe: Fei Toto alivyotua CAS kwa kasi isiyohitajika

Yeye amekuwa jaji wa CAS? Hivi unaikumbuka kesi ya Morison watu walivyokuwa wanaitolea majibu kabla maamuzi hayajatoka? Ngoja nikukumbushe baada ya maamuzi ya kamati ya TFF , Mgongolwa ambaye alikuwa wakili wa yanga na GSM alijinasibu kuwa yanga wapeleke kesi CAS na watashinda lakini matokeo yake walishindwa. Wachambuzi waache ujuaji sio kila kitu wanaweza kukichambua kama wakili Mgongolwa mwenye taaluma yake aliwahakikishia yanga watashinda kesi ya Morison lakini wakaangukia pua yeye ambaye hana hata taaluma ya uwakili anajuaje Feitoto akienda CAS atapotea.
 
Doh kuna maana gani sasa ya kusoma huko UDSM tena Bachelor kama unalipwa mshahara sawa na waliosoma Certificates Zoom College?
[emoji2][emoji2][emoji2][emoji2][emoji1][emoji1][emoji1][emoji1][emoji1]
 
Mpaka sasa YANGA ni washindi ,yaani mpaka kufika final ni ushindi TOSHA mkuu.
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23] sizitaki mbichi hizi.
Ko nyie shda yenu ilikua kufika final tyuuh?
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23] kweli mmepoteanaaa
 
Doh kuna maana gani sasa ya kusoma huko UDSM tena Bachelor kama unalipwa mshahara sawa na waliosoma Certificates Zoom College?
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
 
Hakuna mkataba usiovunja lakini kumbuka hakuna mkataba usio na wajibu ni sawa tu na vile hakuna haki pasi na wajibu.
 
Nafikiri hukutuliza akili ukamsoma vizuri, Fei hata akishinda, ni vema akaangalia time factor kwani Yanga wataendelea maisha ili hali Fei hachezi mpira ukizingatia kuwa hizi case za CAS zinachelewa kuisha.
 
Wewe ndio hujatuliza akili, Feitoto siyo mtoto wako na hata angekuwa mtoto wako ni mtu mzima ambaye anaweza kuamua mambo yake kama atapata faida au hasara ni yeye na watu wanaomzunguka ndio watawajibika
 
Shida ni nini hasa? mwacheni aende CAS haki yake ataipata tu
 
Yaani mi na bachelor yangu ya Udsm mshahara haufiki 1 million nimchangie muhitimu wa jang'ombe Primary school anayelipwa 4 million.. UDSM ntakua nilisomea us*nge
πŸ˜…πŸ˜…πŸ€£πŸ€£πŸ€£πŸ€£πŸ€£πŸ€£. Umetisha mkuuu πŸ™ŒπŸ™ŒπŸ™ŒπŸ™ŒπŸ™ŒπŸ™ŒπŸ™Œ
 
Katika vitu sielewi ni hii Kauli ya Kwamba Yanga wamemuita Fei kuvunja mkataba akakataa.

Jitihada za kuvunja mkataba na hao wanaosema wanamuita zilifanyika ila hazikuzaa matunda, Fei aliomba mazungumzo ya kuvunja mkataba ila hawakuwa tayari ndomana washauri wake wakamshauri afanye alivyofanya.

Yanga wanachokifanya ni unafiki wa kujisafisha, Kwann walikataa mazungumzo kabla haya mambo hayajasambaa??

Wengi hili jambo tumelidaka kwanzia liliposikika ila hatutaki kabisa kufatilia ninini kilikuwa kinaendelea hadi tukafika hapo, hatutaki kabisa kujua jitihada za Fei kutaka mazungumzo na viongozi wa Yanga kuvunja mkataba ila walikataa.
 
Tuonyeshe hizo barua za jitihada
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…