Dr Matola PhD
JF-Expert Member
- Oct 18, 2010
- 60,050
- 104,466
Wewe mbumbumbu Hers I ameshaondoka GSM yupo Yanga.Hersi alisimama kama nani kwenye huo usainishaji mikataba?
Rage alivyowaita mbumbumbu hakukosea.
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Wewe mbumbumbu Hers I ameshaondoka GSM yupo Yanga.Hersi alisimama kama nani kwenye huo usainishaji mikataba?
Pale Ccm inapojifanya INA huruma na Chadema hii kitaalam inaitwaje?Yanga tunataka honest sale ya shares , hatutaki magumashi.
Kama GSM wamejimilikisha hisa za club kinyemela imekula kwao tutaenda mahakamani kuzidai.
Yanga ni dude kubwa sana , hawa GSM wasidhani wanaweza kulipata kwenye sahani!
Uzuri tunajua timu yetu haitakuja kumilikiwa hadi na vitukuu vya gabachori fulaniGSM wamejimilikisha Timu, utopolo ni Mazuzu
Bro mimi si mbu3,nachojua hersi kasimama hapo kama rais wa Yanga,yes tumempigia kura nilimuuliza huyo kolo ajibuWewe mbumbumbu Hers I ameshaondoka GSM yupo Yanga.
Rage alivyowaita mbumbumbu hakukosea.
Hayo ndio mambo huwa nasema.mfano mm Ni yanga kweli Ila sijawi changia klbu yangu sas anatokea mtu ambae atafanya kila kitu alfu nimfanayie fitina hpn kbsa gms chukua mkp majengo nenda kaombee mikopo [emoji542]Kama wanalipa wachezaji mishahara na kuchukua makombe hata angekaa GSM peke yake sawa tuu maana ishu ya bakuri haipo sawa kabisa...
Moja ya muandishi sijui mtangazaji simkubali ni huyo kazumariiUtawaambia nini manyani wale. Luc Emely alikua sahihi. Na alichokiandika bin kazumari nilikua nakitafakari kila mara why kila yanga wakiweka mikataba yao ya kimagumashi huyo eddo na kina oscar na kitenge wanakujaga na vistory vyao vya kisoro tu. Leo kumwemve anasema yeye hapaswi kuongelea mikataba hivi yule aliyekua abaongelea simba kushindwa kumsajili adebayo na mambo mengine ya mikataba ya wachezaji wa simba kuachwa ni nani..? Akili kichwani bin kazumari ni mwandishi ninaye mkubali aisee
Sijui watz wanataka lipi mkp sas haijajulikana ss mashabiki wa Mpira huu wa Simba na yanga Jambo lipi kwetu Ni jemaMsitutoe kwenye reli... Wananchi wanataka furaha na makombe tu...
Ikiwezekana ofisi za Yanga S.C zihamishiwe pale Salamander kabisa....
Na huu ni mwanzo tu wa mateso ya muda mrefu mnayoenda kuyapitia nyie mbumbumbu fc kwa maana Yanga iliyo imara kiuchumi itawapa mateso ya muda mrefu sana
Jimamajemedari alisomaga chuo gani mbona Kam ustadh fln hvBahati nzuri Yanga wameamua kumpuuzia huyu jamaa yeye aandike tu hizo makala zake siku akichoka atanyamaza
Sawa sawaMoja ya muandishi sijui mtangazaji simkubali ni huyo kazumarii
Sent from my Infinix X650 using JamiiForums mobile app