Eddo na wenzie walipokea fedha kututoa kwenye reli?

Kuna muda nadhani hata mods huwa wanashangaa upumbavu wako
 
Yanga tunataka honest sale ya shares , hatutaki magumashi.
Kama GSM wamejimilikisha hisa za club kinyemela imekula kwao tutaenda mahakamani kuzidai.

Yanga ni dude kubwa sana , hawa GSM wasidhani wanaweza kulipata kwenye sahani!
Pale Ccm inapojifanya INA huruma na Chadema hii kitaalam inaitwaje?
 
Nilikusika unavolalama kipyenga extra kikubwa fateni utaratibu chambueni mechi ziko ligi nyingi duniani msijikite ,nbc,epl ,Italy ,huko amerika kusini game zinapigwa asubuhi mtuchambilie hayomambo
 
Wewe mbumbumbu Hers I ameshaondoka GSM yupo Yanga.

Rage alivyowaita mbumbumbu hakukosea.
Bro mimi si mbu3,nachojua hersi kasimama hapo kama rais wa Yanga,yes tumempigia kura nilimuuliza huyo kolo ajibu
 
Kama wanalipa wachezaji mishahara na kuchukua makombe hata angekaa GSM peke yake sawa tuu maana ishu ya bakuri haipo sawa kabisa...
Hayo ndio mambo huwa nasema.mfano mm Ni yanga kweli Ila sijawi changia klbu yangu sas anatokea mtu ambae atafanya kila kitu alfu nimfanayie fitina hpn kbsa gms chukua mkp majengo nenda kaombee mikopo [emoji542]

Sent from my Infinix X650 using JamiiForums mobile app
 
Moja ya muandishi sijui mtangazaji simkubali ni huyo kazumarii

Sent from my Infinix X650 using JamiiForums mobile app
 
Sijui watz wanataka lipi mkp sas haijajulikana ss mashabiki wa Mpira huu wa Simba na yanga Jambo lipi kwetu Ni jema

Sent from my Infinix X650 using JamiiForums mobile app
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…