xx
Ngoja niwaulize!! Kwani cha ajabu ni kipi pale?! Ina maana hamfahamu GSM wana mkataba wa kutengeneza jezi tangu kitambo?!
Au niwakumbushe kwamba wakati Mwamedi alipoikuta Simba ipo taabani, akatumia mwanya huo kununua 49% kwa bei chee kwa sababu alifahamu kwa njaa ambayo mlikuwa nayo, KATU MSINGEKATAA!
Kinyume chake, GSM alipoikuta Yanga ipo taabani wala hakutaka ku-take advantage bali akaamua kufanya nao biashara ya kutengeneza jezi!!
Ngoja niwakumbushe habari ya September 07, 2019 ambayo inasema:-
Halafu ona mlivyo kiroja!! Kutoka kwenye website yenu wenyewe, Da' Barbara anawajuza:-
But wait... GSM analipa 300M kwa mwaka ili kutangaziwa biashara zake! Hivi mnaweza kutuambia yale mapicha ya mabox ya sabuni ambayo Mwamed kayajaza kwenye mafulana yenu huwa analipa kiasi gani?!
xxRais ndiye Chief Signatory wa klabu, lakini ndiye Mkuu wa kitengo cha uwekezaji wa Kampuni ya kazini kwake. Jamani hata hili nalo ni kwamba tunaichukia klabu? Jibu baki nalo mwenyewe.
Tukubaliane kwamba tunaweza kupishana kwenye kufikiri na wala hakuna chuki ila ni mitazamo tu.
BIN KAZUMARI (Voice Of The Voiceless)
My Take
Ruksa kututukana
Makolo mnapenda sana kujifariji! Blanda ya kuuza 49% ya hisa za klabu kwa 20B bado inawatafuna na matokeo yake mnajaribu kuonesha kila linalofanyika kwa Yanga ni blanda kama ile ya kwenu!!GSM wamejimilikisha Timu, utopolo ni Mazuzu
Ngoja niwaulize!! Kwani cha ajabu ni kipi pale?! Ina maana hamfahamu GSM wana mkataba wa kutengeneza jezi tangu kitambo?!
Au niwakumbushe kwamba wakati Mwamedi alipoikuta Simba ipo taabani, akatumia mwanya huo kununua 49% kwa bei chee kwa sababu alifahamu kwa njaa ambayo mlikuwa nayo, KATU MSINGEKATAA!
Kinyume chake, GSM alipoikuta Yanga ipo taabani wala hakutaka ku-take advantage bali akaamua kufanya nao biashara ya kutengeneza jezi!!
Ngoja niwakumbushe habari ya September 07, 2019 ambayo inasema:-
2019 Yanga ilikuwa njaa tupu, lakini GSM akaamua kufanya nao biashara badala ya kujimilikisha timu kama alivyofanya Mwamedi!Kampuni nyingine ni GSM walioshinda tenda ya uuzaji wa jezi za Yanga iliyotoa Sh bilioni 1.3, pia kampuni hiyo imeongeza fedha kwa kutoa Sh milioni 150 ya udhamini kupitia magodoro yao ya GSM.
Halafu ona mlivyo kiroja!! Kutoka kwenye website yenu wenyewe, Da' Barbara anawajuza:-
Yaani mnajaribu kukejeli mkataba wa Sh 1.8 Billion kwa mwaka wakati wa kwenu ni 1.0 Billion kwa mwaka... like serious?! Utamu zaidi, huyo anayelipa 1.8 Billion kwa mwaka bado huwa anafanya mambo mengi zaidi kwa klabu kuliko huyo mwenye mkataba wa 1 Billion kwa mwaka!!Klabu ya Simba imeisaini mkataba wa miaka miwili na kampuni ya Vunjabeigroup wa kutengeneza na kusambaza jezi za timu ya wakubwa, wanawake na vijana wenye thamani ya Sh bilioni mbili.
But wait... GSM analipa 300M kwa mwaka ili kutangaziwa biashara zake! Hivi mnaweza kutuambia yale mapicha ya mabox ya sabuni ambayo Mwamed kayajaza kwenye mafulana yenu huwa analipa kiasi gani?!