Eddy Kenzo na Shilole ndani ya penzi jipya

Eddy Kenzo na Shilole ndani ya penzi jipya

si alisemaga Nuhu hawez kumuacha kwan anampenda sana?
mapenzi ya watt wa siku hizi ni kazi sana
haya ule upendo aliodai Nuhu anao leo hii umeenda wapi adi anamwaga?
na huyu naye aangalie atamwaga kuimbwa sio tija.
Akitaka kujua sio ishu amuulize marehem Hidaya aliyeimbwaga na Pepe kale miaka ile alipokujaga Tz akapiga pale friends corner wimbo wa nimepoteza kipenzi changu nchini Tanzania.
Pepe kalee alipoteza mukanda ya kiuno akaahidi atarudi kuutafuta sasa sijui kama aliwahi kufanya hivyo kabla mauti hayajamkumba, napenda sana ule wimbo plus ule aliowaimbia yanga though mimi simba damu damu.
 
Hata nuh ka modify zile tattoo now panaonekan tofauti
 
Mwanamke ambaye kashaishi na dereva wa lory hafugiki. Samahani kwa hiyo lugha lakin ndio ukweli.
 
Keshaikwangua ile kitu muda hadi yakifuani kaimodfy kamchoro amazng
Haijalishi, akiiangalia tattoo na kukumbuka mwanzo wake, ataendelea kujiona zoba! How the fvck can you tattoo a bittch on your body??? Umariooo mbaya sana!
 
Msanii mkubwa kama Shilole kutoka na mtu kama Nuhu Ni kujidhalilisha Tu. Level zake Ni kina Justin Bieber
Justin Bieber wa MANZESE sio???? ila umenichekesha kweli.
 
Naona watu wengi humu wanamshambulia Shilole, kumtusi na kumwita majina yote Malaya sijui b!tch lakini kiukweli ukiwauliza sababu hawana na hakuna hata mmoja anayemfahamu huyu dada personaly zaidi ya kusoma sifa zake kwa Shigongo.
Mimi naamani, inawezekana siku ukakutanishwa na Shilole ukashangaa jinsi alivyo an amazing person, tofauti na wasifu wa nje alioveshwa na Jamii. Kama kulala na wanaume ndio umalaya basi watu wote humu JF Ni Malaya.
Mtu ambaye hajawahi kujifungia chumbani na mwanamke/mwanaume anyooshe kidole juu tuanze kuhesabu kabla ya kuwaita wenzetu Malaya.
 
!
!
Utakionaje sasa nikinyoosha
 
Kweli mwanamke akinyimwa akili kinachoumia zaidi ni sehem zake za siri
 
Daah maskin nuh ila hapo kama kuna utata shishi kimombo chake cha igunga
 
Shishy hapaswi kulaumiwa kwa lolote kwa sababu anatafta furaha ya maisha yake. Pia ni independent woman tofauti na wanawake wengi wapiga mizinga. Tumuache na maisha yake msanii huyu mkubwa hapa Africa.
 
Back
Top Bottom