Naona watu wengi humu wanamshambulia Shilole, kumtusi na kumwita majina yote Malaya sijui b!tch lakini kiukweli ukiwauliza sababu hawana na hakuna hata mmoja anayemfahamu huyu dada personaly zaidi ya kusoma sifa zake kwa Shigongo.
Mimi naamani, inawezekana siku ukakutanishwa na Shilole ukashangaa jinsi alivyo an amazing person, tofauti na wasifu wa nje alioveshwa na Jamii. Kama kulala na wanaume ndio umalaya basi watu wote humu JF Ni Malaya.
Mtu ambaye hajawahi kujifungia chumbani na mwanamke/mwanaume anyooshe kidole juu tuanze kuhesabu kabla ya kuwaita wenzetu Malaya.