Eden Hazard atangaza kustaafu kucheza soka

Mkuu point of correction. Hakuna sehemu yoyote Ronaldo aliwahi kusema atastaafu akifika miaka 40. Naona umeirudia nimeona nikusahishe hapo
Nimeirudia mara mbili kwa sababu ni taarifa nayoikumbuka iliandikwa na BBC Swahili miaka hiyo akiwa Real Madrid alihojiwa akasema ndoto zake ni kustaafu akiwa Real Madrid akifikisha miaka 40, lakini baadae kabla ya hiyo miaka akawa amerudi Man Utd.

Kwahiyo bado naikumbuka hiyo kauli. Wadau wengine kama waliiona hiyo habari watatoa ufafanuzi.
 
Hakuna usiano wote mimi nazani sababu kubwa itakua ni ya kiafya ata owen hargreaves alistafu mapema sana na hakuwa mtu wa kukaa na mpira mda mrefu
 
Ni sawa auna ya uchezaji wake ni risk sana. Nilikuwa nampenda sana hadi mwanangu mmoja nilimuita eden
 
Sijui mda mwingine ni kurogana, mana hata Pogba nae mda si mrefu atastafu
 
Jamaa alikuwa Ni Moto pala Darajani....akishika Mali mnajua muda wowote mnalia.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…