Nimeirudia mara mbili kwa sababu ni taarifa nayoikumbuka iliandikwa na BBC Swahili miaka hiyo akiwa Real Madrid alihojiwa akasema ndoto zake ni kustaafu akiwa Real Madrid akifikisha miaka 40, lakini baadae kabla ya hiyo miaka akawa amerudi Man Utd.Mkuu point of correction. Hakuna sehemu yoyote Ronaldo aliwahi kusema atastaafu akifika miaka 40. Naona umeirudia nimeona nikusahishe hapo
Kwahiyo bado naikumbuka hiyo kauli. Wadau wengine kama waliiona hiyo habari watatoa ufafanuzi.