Eden Hazard atangaza kustaafu kucheza soka

Eden Hazard atangaza kustaafu kucheza soka

Mkuu point of correction. Hakuna sehemu yoyote Ronaldo aliwahi kusema atastaafu akifika miaka 40. Naona umeirudia nimeona nikusahishe hapo
Nimeirudia mara mbili kwa sababu ni taarifa nayoikumbuka iliandikwa na BBC Swahili miaka hiyo akiwa Real Madrid alihojiwa akasema ndoto zake ni kustaafu akiwa Real Madrid akifikisha miaka 40, lakini baadae kabla ya hiyo miaka akawa amerudi Man Utd.

Kwahiyo bado naikumbuka hiyo kauli. Wadau wengine kama waliiona hiyo habari watatoa ufafanuzi.
 
Hakuna usiano wote mimi nazani sababu kubwa itakua ni ya kiafya ata owen hargreaves alistafu mapema sana na hakuwa mtu wa kukaa na mpira mda mrefu
 
Hivi ina maana ule mtindo wake wa kudribo ndio umemletea majeraha sana au ni bahati mbaya? Mana kina CR7 wao wanaendelea kukipiga na alishasema atastaafu akiwa na miaka 40, ila inaonekana anaweza kupitiliza hiyo miaka.

Siri ya kucheza muda mrefu ni nini? Je, kuna madhara ya kiafya kucheza mpira muda mrefu?
Ni sawa auna ya uchezaji wake ni risk sana. Nilikuwa nampenda sana hadi mwanangu mmoja nilimuita eden
 
Sijui mda mwingine ni kurogana, mana hata Pogba nae mda si mrefu atastafu
 
Jamaa alikuwa Ni Moto pala Darajani....akishika Mali mnajua muda wowote mnalia.
 
Back
Top Bottom