Eden Hazard kwisha habari yake atajuta kwenda Spain

Mayala B

JF-Expert Member
Joined
May 13, 2019
Posts
2,109
Reaction score
5,284
Ndo hivyo huyu ninja ataikumbuka England

Nimetizima game zote ambazo kacheza hana makeke wala hana chochote

Wala hakuna bak anayemkamia kama kipindi yuko England unakuta anakabwa na mabeki watatu

Hana chochote kabisa yaan ni garasa

Huyu jamaa pole yake aisee

Nahis had mda huu moyo wake unadunda maana tiar kashaanza kujua kuwa kumbe alichemka
 
jamaa tatizo kanenepa amekuwa kama JB.
 
Ndo hivyo huyu ninja ataikumbuka England

Nimetizima game zote ambazo kacheza hana makeke wala hana chochote

Wala hakuna bak anayemkamia kama kipindi yuko England unakuta anakabwa na mabeki watatu

Hana chochote kabisa yaan ni garasa

Huyu jamaa pole yake aisee

Nahis had mda huu moyo wake unadunda maana tiar kashaanza kujua kuwa kumbe alichemka
Hahah. Utakuwa shabiki wa chelsea wew una hasira
 
Hata Cortous alienda kwa mbwembwe akaishia kupigwa tano tano mpaka siku hzi anakaa benchi
Samahani kwa kukosea jina lake
 
Ndo hivyo huyu ninja ataikumbuka England

Nimetizima game zote ambazo kacheza hana makeke wala hana chochote

Wala hakuna bak anayemkamia kama kipindi yuko England unakuta anakabwa na mabeki watatu

Hana chochote kabisa yaan ni garasa

Huyu jamaa pole yake aisee

Nahis had mda huu moyo wake unadunda maana tiar kashaanza kujua kuwa kumbe alichemka
😁😁 Mtulie hiz Ni pre season tu jaman duuh
 
Shidah inayoikumba hii team n moja tu wachezaji wamesha cheza pamoja sasa wamechoka Ramos kachoka hazard awez pata huduma kma aliyokuwa anapta cr 7
 
Trapped. . Zidane ni kocha mbaya kitabia anajua majungu tu haangalii kazi yake... Ronaldo alimbeba sana.. mtu wa kumuokoa Zidane ni mbappe tu... la sivyo hamalizi game 14 atafukuzwa
 
Haya mashindano yao ya uongoooo.Mi nangoja ianze ligi ndo niyakusanya data za uhakika

Back
Top Bottom