Eden Hazard kwisha habari yake atajuta kwenda Spain

Najua mashabiki wa Barcelona mnaombea sana Hazard apotee ila hilo si rahisi ngoja ligi ianze utajua hazard nani msitake wote tuonekane tumelamba garasa kama nyinyi na coutinho wenu na sasa Griezman
 
Ndo hivyo huyu ninja ataikumbuka England

Nimetizima game zote ambazo kacheza hana makeke wala hana chochote

Wala hakuna bak anayemkamia kama kipindi yuko England unakuta anakabwa na mabeki watatu

Hana chochote kabisa yaan ni garasa

Huyu jamaa pole yake aisee

Nahis had mda huu moyo wake unadunda maana tiar kashaanza kujua kuwa kumbe alichemka
Thibaut ndo ana laaana yetu ila hazard ana baraka za england nzima sina shaka naye ataperform tu kama binadamu anazoea mazingira tu
 
Ndo hivyo huyu ninja ataikumbuka England

Nimetizima game zote ambazo kacheza hana makeke wala hana chochote

Wala hakuna bak anayemkamia kama kipindi yuko England unakuta anakabwa na mabeki watatu

Hana chochote kabisa yaan ni garasa

Huyu jamaa pole yake aisee

Nahis had mda huu moyo wake unadunda maana tiar kashaanza kujua kuwa kumbe alichemka
Ivi unafikir hazard ni mchezaji wa kipuuzpuuz hv!! Kama mpira ham ufahamu basi msijifanye wajuaji.
 
Kwani tuna husuda kutamani wengine washindwe tunafaidika vipi na haya mawazo ya kiboya?

Watanzania tuna mambo ya kichawi chawi sana. Utakuta mleta mada ni kijana mdogo tu lakini ana mambo ya kishirikina balaa👿.
 
Huo no utabiri wa mganga wako subiri uone Moto wa hazard atakaowasha,jamaa namkubali sana anacheza soka ninalolikubali mwendo tu.
 
washabiki wa chelsea tulieni mbona nyinyi mkinunua wachezaji bei mbaya hakuna anayewahoji au mmesahau Mo Salah, Debruyne, Lukaku hata Bakayoko wote kwenu hawakuonekana na thamani
 
sisi chelsea tulimtakia heri kabisa eden hao wanaomkashifu ni fans wa barcelona
 
Jana nimeshangaa sana Madrid kupigwa na Atletico magoli 7
 
Atarudi darajani na tutampokea tena bila kinyongo

Back
Top Bottom